Recent content by angelita

  1. angelita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume waliooa huacha kuwashirikisha wenza wao kwenye vyanzo vyao vya mapato?

    Kutokujielewa na Kujiamini
  2. angelita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada anagoma kumpa Kaka mwanaye, waliyezaa naye

    Kaombe ushauri kwa Mama zenu msitusumbue
  3. angelita

    JamiiForums Tanzania Huyu Loydemich ni nani hapa mjini? Anafanya kazi gani?

    Chawa wa Uwoya
  4. angelita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Am I wrong if I process divorce?

    Kuna watu wavumilivu sana sijapata kuona. Acha kubeba majukumu ya Baba mwenye nyumba, tafuta furaha yako.
  5. angelita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hataki kunipa 'Mzigo' nataka nimuache

    Mbake tu mbona rahisi
  6. angelita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeota nimepata mtoto wa kike, leo nakutana na taarifa hii

    Kwaiyo unamshauri akamtoe?????
  7. angelita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najisikia vibaya kutembea na mke wangu.

    Mwanaume asiyejiamini kuna tatizo kwenye uwanaume wake
  8. angelita

    JamiiForums Tanzania Masikini akipata...

    Kaka siku hizi anashinda mahotelini tu, Wanamazengo tunajiuliza kwani Kaka nyumba hana????? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. angelita

    JamiiForums Tanzania Mji mzito huu

    Mji mzito huu ndomana joto haliishi, Ila navyomjua Dada ya Mashauzi haachii ngazi Chezea Mahela watabanana hadi kieleweke. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. angelita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumegombana kisa kaniomba tsh. 5000

    Siku utakayokuja kuwa na hela utaona maswala kama hayo kawaida, Wenzako wanatoa mamilioni hata denda hawajawahi pewa na huwasikii wakilia lia.
  11. angelita

    JamiiForums Tanzania Tunauza nguo za kiume kama mashati na suruali

    Nadhani ukisoma tangazo maelezo yamejitoshereza kabisa Mkuu, wanunuzi wanachukua mawasiliano wanahudumiwa vizuri kabisa, kuna wateja wengi ambao wametoka hapa JF baada ya tangazo hakuna ambaye hajaridhika. Karibu
  12. angelita

    JamiiForums Tanzania Tunauza nguo za kiume kama mashati na suruali

    Ahsante kwa ushauri.
  13. angelita

    JamiiForums Tanzania Tunauza nguo za kiume kama mashati na suruali

    Soma tangazo vizuri una swali mawasiliano yamewekwa pale. Karibu
  14. angelita

    JamiiForums Tanzania Tunauza nguo za kiume kama mashati na suruali

    Asilimia kubwa ya wanaopiga kelele hapa sio wanunuzi nina uzoefu wa kutosha na watu dizaini hii unaenda nao wanavyoenda. Ahsante kwa ushauri
Back
Top Bottom