Recent content by anga tatu

  1. A

    CCM huwabadili watakatifu kuwa waovu?

    Aliwahi Fanya field mkwawa high school. Wkt huo tukiwa wanafunzi, kwa kweli brother huyu siyo wa kumuamini. Si mzalendo ni mtafutaji na wajanja walishamjua!
  2. A

    Inasemekana Lulu kaonekana uraiani

    Hizo ni tetesi na uzushi wako. Huna chanzo cha habari hii. Kwanini hukutulia ukatafuta evidence kisha uandike? Wataka mfurahisha nani?
  3. A

    Waziri Ndalichako, wakuu wa shule wana tabia hii, badilisha huu mfumo

    Nijuavyo, recommendations za awali kwenye fomu zinajazwa na mkuu wa shule. Baadae majina yanarudishwa kwa walioteuliwa kupitia kwa Afisa Elimu wilaya. Hata hivyo haipaswi kuwa na mgogoro na mkuu wako wa kazi. Hiyo ni nidham mbaya na insubordination. Ni vyema watumishi wakaendelea kutii mamlaka...
  4. A

    Mkurugenzi Halmashauri ya Itigi atishia kuwasweka rumande walimu waliohamishwa kisa madai ya stahiki zao

    Nikikumbuka akili za waalimu naona bora za wanafunzi. Wacha waipate akili zianze kurudi. Hapo ukute wanashinikizwa na CWT kupata umaarufu kua wanasaidia waalimu Wakurugenzi wengine igeni mfano wa Mkurugenzi huyu. Fedha ya serikali siyo ya kugawa ovyo tena kwa waalimu.
  5. A

    Joyce Kiria alalamika hadharani kunyimwa "Dyudyu"

    Sipati jinsi Joyce anavyotanua miguu na kugumia. Lkn huenda hiyo post si yake Bali ameingiliwa. Kwa umakini alionao Kiria sitegemei aandike hadharan hayo yaliyoandikwa. Amejijengea heshima kubwa hawezi kuiharibu kirahisi hivyo
  6. A

    MSAADA:JUU YA TOYOTA RAV 4

    Hiyo gari imepitwa na wakati. Simshauri mtu anunue RAV 4 au ESCUDO SUZUKI. Ni kama Landroveer 109. Zishapitwa na wakati na hakuna ushauri utakaokusaidia
  7. A

    Faida/Changamoto za biashara ya Mabasi

    Tata mpya ni 115m, hapo utatakiwa kutengeneza carrier na kupaka rangi. Gari inatoka na rangi nyeupe. INA kuwa pia na sehem ya kuwekea TV na music system Gari hizi zina matumizi mazuri ya mafuta. Tatizo hazipendi milima, rough road, zina matatizo ya Umeme usipokua muangalifu. Mafundi wa gari hizi...
  8. A

    Mwili wa Agnes Gerald 'Masogange' waagwa leo katika viwanja vya Leaders

    Mkuu usifanye utani ktk misiba ya watu. Km hujaguswa kaa kimya ni hekima
  9. A

    Mwili wa Agnes Gerald 'Masogange' waagwa leo katika viwanja vya Leaders

    Utengule unayoisema siyo hiyo. Yeye kwako ni Utengule ya Mbalizi Mbeya njia ya kwenda mkwajuni Chunya. Hiyo Utengule ya Usangu ni ya kwako. Hata hivyo pole sana kwa walioguswa na msiba wa Masogange
  10. A

    ITV tunaomba kipindi cha kipimajoto kiahirishwe leo

    Siku hizi nimepoteza hamu ya kufuatilia habari hasa kwenye TV. Bora kusoma mitandaoni. Ni bora mtu uwe ignorant utaishi kwa amani kuliko hali ya sasa
  11. A

    Tumbo kujaa gesi

    Subiria wa nakuja. Kila yawezekana ni chronic amoeba.
  12. A

    Wingi wa wabunge wa CCM ndani ya bunge la Tanzania ni mzigo kwa mlipa kodi

    Mbona kipindi hiki kuna kuisakama sana serikali na bunge
  13. A

    Agizo la Rais Magufuli kuhusu mimba kwa wanafunzi lahujumiwa

    Bandiko limekaa kichochezi. Wewe unajuaje km aliempa mimba ni huyo mwanafunzi wa form 4? Je mtiwa mimba amemtaja? Kawaida siyo kazi ya uongozi wa shule kumweka ndani mtuhumiwa Bali ni polis na mtendaji kata. Onto, acha kuandika usichokijua kwani andiko lako linakosa mvuto
  14. A

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Watanzania lini mtatulia muwazie mema kwa serikali na viongozi wake? Imezidi na imetosha, tulieni fanyeni mambo mengine. Hii kosoakosoa haitupeleki popote
Back
Top Bottom