Recent content by aneth1983

  1. A

    Urahisi na uzuri wa combination ya PCB!!

    Well said wahanya......dogo ktk elimu hakuna janga la kitaifa.....ni wewe unatakaje,watu walikuwa wanatoboza mpaka one.....(ma bookworm...hapo hakuna vipaji)ni msuri kwa kwenda mbele
  2. A

    Plot for sell in Arusha

    How much?
  3. A

    Laptops and Mobile phones for sale

    How much?
  4. A

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Hapa wengi tunahitaji msaada jamani....nawapongeza TRA system ya kupata TIN kwa sasa ni bure na ni one day process....issue imebaki halmashauri katika kutoa lesen.....hivi hizo kodi zitapatikanaje jamani????kama mnaohusika mnapita pande hizi naomba hili wazo mzingatie(Mfano...
  5. A

    Mikopo ya Benki ni yakuiogopa sana!Mama alala juu ya paa siku 5

    Mkuu riba yetu ni 23% to 30%.....hiyo 18% ni wapi?
  6. A

    Wateja wa chumvi!

    Asante sana ndugu! Kweli sijui idadi ya viwanda,but ni aidia nzuri nitaifanyia kazi ila by the time being nahitaji kuuza unprocessed kwanza,....nitafika tu huko but taratibu ndo mwendo.
  7. A

    Wateja wa chumvi!

    Habari za leo wadau! Natafuta wateja wa chumvi(un processed) nimevuna zaidi ya tani2.....kwa anae hitaji au anae jua wapi naweza pata soko naomba michango yenu wadau.
  8. A

    Kinana: Unayakumbuka haya maneno wakati unaga'atuka

    I have no word......hivo ndo baadh ya vitu vinavotakiwa kuwekwa kwenye katiba maana watu hawashibi madaraka.....ooohhh toka jk mpaka jk.....aaaaahh this too much bana
  9. A

    BOT Domain is Expired

    ooohhh ppsss!
  10. A

    WIKI MBAYA KABISA!:wiki ya uchaguzi-2010

    Mbona mmefunga jukwaa la siasa????kulikoni????
Back
Top Bottom