Dah kuanza upya mkuu, huna ulilokosa we jiajir tu kwa maana chuo nilitaka nianze kuuza maji nikaamua nirud nyumban isiwe shida kwa maana elimu saiv ni kaa la moto
Nakumbuka post zako ndugu yangu yani ile ya mwisho ulikazia sana... Naogopa sana ben upo wapi mbna umechelewa rudi basi ben ndoto yako itazima ben nakuomba rudi
Unanikumbusha nilipanga hostel huko temeke, mwenye hostel hakuwa na shida ila matron alikuwa msumbufu kwel yan hata ukiangusha ganda la pipi atafoka wee ila me nilishindwa hiyo siku nanawa uso kwa kutumia kopo la maji jipya anaanza kufoka yan we mchafu sana unanawia kopo la chooni uso utaacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.