Recent content by Andulile

  1. A

    Askari wale wa Jeshi, Makonda aliwatoa wapi?

    Kwa ninavyofahamu ni kwamba RC hana Mamlaka ya kuamlisha vyombo vya Ulinzi na Usalama kufanya jambo lolote. Hakuna Sheria inayompa Mamlaka hiyo. RC Bashite alikodi wapi wale waliomsindikiza kwenye utekaji wa kituo cha luninga?. Askari waliomsindikiza RC Bashite walivaa sare za mojawapo ya...
  2. A

    Rais Magufuli tumtetee kwenye mitandao na popote, tusikubali adhalilishwe kila uchao

    Ameandamwa na lipi ambalo alifanya kwa haki? Ni kazi ya wananchi kuwatetea viongozi wao kama wanatenda kwa haki lakini ni jukumu la wananchi wenye mapenzi mema kumkosoa asipotenda kwa haki. Je unatuhamasisha kumtetea ili mradi katetewa? Utakuwa msaada sana kama utaonesha maeneo ambayo rais...
  3. A

    Aliyetupa Macho asiweze kuona?

    Ni nguvu ni kitambo tu, hata yeye atapita. Afanye jino kwa jino au jicho kwa jicho au chuma kwa chuma vyote vinapita tena vinapita haraka kuliko unavyoweza kudhani. Huyo unayemshabikia inamfaidia nini kutweza utu wa watu? Na je wewe unafaidika nini unapoona mwingine anateseka kwa sababu ya kuwa...
  4. A

    Wabunge wa CCM waliopanga kumuona Lema gerezani waonywa, waitwa wasaliti

    Tunaongozwa na kipofu wa kuona na kujua maana ya Taifa lenye upendo, amani na utengamano. Kwake kuumiza ndiyo furaha yake, hakika Tanzania inaelekea kutumbukia kwenye shimo baya la utengano na mifarakano yanayobuniwa na Mkuu wa Nchi, aibu kwetu na ole kwa waliotufikisha hapa.
  5. A

    Nape Nnauye: Unawezaje kumtaarifu Muuza Dawa za Kulevya kuwa unataka kumkamata?

    Mtu akirudia ufahamu wake shuruti apewe sifa yake, haijalishi jana alisemwa vibaya lakini kama anaonekana sasa akili zimemrudia ni muhimu akapewa haki yake kwa kupongezwa. Siku zote kuna Ubaya na Uzuri, kwa ubaya wasemwa vibaya kwa uzuri wasemwa vizuri na kupongezwa.
  6. A

    Ujio wa Wema Sepetu CHADEMA: Is She an Asset or a Liability? Mmeishaumwa na Nyoka, Hamjifunzi tu?!

    Je mtu kuwa Asset anatakiwa asiwe "mrembo?, Mnyange?, Mlimbwende?" Sifa za mtu kuwa Asset kwenye Chama ni nini? Je walio Asset mbona hatuwaoni mkijitokeza kusaidia Taifa lisonge kutoka hatua moja hadi nyingine? CCM waliona nini kwa Wema hata wakamtumia kupiga kampeni na kuambatana na mtu mkubwa...
  7. A

    Arusha: Mahakama yatupilia mbali rufaa ya mawakili wa serikali kwenye kesi ya Lema

    Anamwakilisha Mungu yupi? Mungu atesaye ni yupi? Mungu asiye Haki ni yupi? Anayemwakilisha Mungu utawala kwa Haki na Taifa huwa katika HAKI
  8. A

    Meya Boniphace Jacob amfungukia RC Makonda

    Hizi ndizo mbegu alizopanda mheshimiwa Daudi Albert Bashite, ni haki yake sasa kuanza kuvuna. Kuna wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna. Tunamtakia mavuno mema kwa kazi ya mikono yake mwenyewe
  9. A

    Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Udhalilishaji wa wanawake wa kimakonde, kelele zao ulizisikia wapi kama hukuwa sehemu ya wanaosababisha kelele kupigwa? Tuoneshe mchungaji tapeli na malaya kwa evidence ili tukuamini. Kama hamna evidence na wewe utaonekana huna maana.
  10. A

    GE2010 Beware, slow poison of religious bigotry is entering into Tanzania’s body politic!

    Hakika wewe ni kiboko, kila kitu unapinga bila kujadili hoja. Hebu jaribu kujadili hoja kwanza n kisha onesha msimamo wako. Je wewe unalishwa na rais kwa sababu ni wa dini yako. Ni muhimu kama wadau kubadilishana uelewa wa jambo linawekwa mezani kwa kujadili ubaya na uzuri bila kukimbilia kuunga...
  11. A

    GE2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    Uongozi ni kazi ngumu, ni kazi inahitaji muda na kujitoa kweli kweli katika kuhakikisha kwamba Taifa linafika kule ambako wote kwa pamoja tunaamini ni muhimu taifa lifike. Maeneo ambayo kwa pamoja kunamakubalino bila kujali ni nani anachanganua vizuri zaidi ni kama yafuatayo:- 1. Wote tunahitaji...
  12. A

    GE2010 Malipo ya Salma Kikwete yazua utata!

    Mwanahalisi ya leo ina headings zifuatazo: Malipo ya Salma utata., Takukuru mshauri wa CCM, Pia kuna makala ya Ndimara Tegambage inasema: Kikwete, kura na watuhumiwa ufisadi, Joster Mwangulumbi anachambua: Kinana mwongo au Msahaulifu? Mbasha Asenga anauliza: Kwa mabango haya, hofu au JK...
  13. A

    GE2010 Pinda: Umasikini umepungua Tanzania

    Umepungua kwake kwa sababu kodi zetu zinamhudumia yeye na familia yake. Lakini nje ya hapo, sioni kama haya anayosema ni ukweli. Ulimi ni kiungo kidogo lakini matatizo yake makubwa. Kwa maneno ya ulimi viongozi huwa tayari kusema hata yasiyo kweli, lakini ni kwa aslahi ya wenyewe.
  14. A

    GE2010 Kikwete apewa report ya kura za Slaa

    Hakika hata yeye ni msomi asisubiri kufanyiwa kazi. Wenzio wamefanya kazi wanakupa taarifa hutaki kuamini, sasa njoo na utafiti wako uweke mezani tuudadavue. Argue with facts in hands not just words. Hii itatusaidia kutoamini taarifa zingine ambazo wewe utathibitishia jukwaa kwamba sio za kweli...
Back
Top Bottom