Hii ya Mbowe nayo kali sana kwa CCM! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ya Mbowe nayo kali sana kwa CCM!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Zak Malang, Sep 21, 2010.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Gazeti la Nipashe leo limemnukuu Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema na mgombea ubunge wa jimbo la Hai akiwaahutubia wananchi katika jimbo hilo akisema:

  "Ni aibu mikutano ya kampeni za CCM kupambwa na wasanii wa muziki wa kizazi kipya na vikundi vya vichekesho, wakato taifa linakabiliwa na matatizo makubwa kama vile umasikini na huduma mbaya za jamii."

  Alisema hali ya maisha ya Watanzania wengi inasikitisha kwani hawana uwezo wa kupata milo mitatu kwa siku.

  Aliongeza: "Lakini katika kama hiyo, mgombea urais kupitia CCM, rais Jakaya Kikwete anaambatana na wasanii wa kizazi kipya pamoja na kikundi cha vichekesho cha Ze Komedi. Hauwezi kuzungumzia matatizo ya taifa kimzahamzaha, tuna mambo mengi kuhusu mustakabali wetu na sio kutazama vichekesho…huwezi kucheka wakati tupo kwenye msiba wa umasikini, wizi wa rasilimali zetu na huduma mbovu za afya na elimu."

  My take;

  Katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni katika Viwanja vya jangwani mwezi uliopita, Chadema ilipambwa na kikundi cha muziki wa kizazi kipya cha Sugu. Lakini baadaye nilisikia kwamba baadhi ya viongozi wa Chadema waliona ni vyema wakaachana na mambo hayo, hivo hivi sasa mikutano ya Chadema haipambwi na muziki.  [FONT=&quot]
  [/FONT]
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Jamaa amemuuwa Kikwete, ama kwa kuwa na yeye ni Msanii....
   
 3. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mmmh msanii lazima asindikizwe na wasanii wenzake.
   
 4. A

  Andulile Member

  #4
  Sep 21, 2010
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 5
   
 5. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wasipoita wasanii nani atakuwepo? Wanaweza wakakomea viongozi na wale wanaokuja na msafara pamoja na Green Gurad. Maana siku hizi ni aibu kuonekana unashabikia CCM (especially pande ninayokaa mimi).
   
 6. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mambo ya CCM yanaendeshwa kikomedikomedi tu sasa tutegemee nini?
   
 7. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2010
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145

  CCM kuingia na wasanii ni sawa kwani ni chama cha kuwadanganya watu kama watoto. Ndiyo maana
  kule Mbulu na Dongobesh waliambiwa "HATUDANGANYIKI"

  Matokeo yake wanakwapiga wapiga kura watarajiwa mabomu ya machozi.
   
 8. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #8
  Sep 21, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kama Hukuudhulia fiesta kwa miaka yote. Huu ndo wakati wako, nenda kwenye shoo za ccm ukale buradani then ocyober 31 kura yako unatupia kati kwa mzee mzima DR. W SLAA. na chadema kwa ujumla then mpango mzima.
   
 9. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  katika hili mbowe ana hoja nzito sana, ambayo chadema inatakiwa kutoa elimu kwa wapiga kura badala ya kalalmika tu. Kama walivyo binadamu wote, huhitaji kupata burudani, ndio hata mkoloni alijenga community welfare centres katika mikusanyiko mbali mbali ya wananchi kwa ajili ya kutoa elimu na burudani kwa wananchi.

  Mathalani hata manamba katika mashamba ya katani walikuwa wakitumia community centres hizi kupatiwa burudani kila mwisho wa mwezi ili kuwapatia haki muhimu sana kwa binadamu

  serikali ya tanu na ccm ikaziua community welfare centres kwa kutoziendeleza na kuzigeuza kuwa ofisi za tanu na ccm, nyingi zikageuzwa kuwa miradi ya kujiingizia kipato ya tanu na ccm. Matokeo yake wananchi wanakosa haki muhimu sana ya kupata burudani.

  Hivi sasa watanzania wengi hususan waishio vijijini hupata burudani unapokuja mwenge au wakati wa kampeni za uchaguzi, ambapo mafisadi wenye uwezo wa kununua vyombo vya muziki na kuwalipwa waanamuziki wamegeuza kampeni za uchaguzi mkuu kuwa sehemu ya burudani. Kama alivyosema mwenyekiti haya ni mapungufu makubwa sana kuwanyiwa wananchi haki ya kuuliza maswali kwa kubadili mwelekeo wa kampeni kuwa wa burudani zaidi.

  Ni kutokana na hali hii ufahamu wa watanzania kuwa wa chini sana, ninawashangaa sana wale wanajf wenzetu wanaofikiri kuwa baada ya uchaguzi mkuu wa 2010 chadema itakuwa dormant. It can be dormant if it wants to be, lakini kazi ya kufanya ni kubwa sana kuliko tunavyofikiri. Kampeni hizi ni golden opportunity ya kuwafikia watanzania katika mazingira yao halisi na kutambua matatizo yanayowakabili.

  Moja ya matatizo yanayowakabili watanzania wa vjijini na mijini na ambayo wanakufa nayo kimya kimya ni kero, manynyanyaso na kudaiwa rushwa na wenyeviti na watendaji wa vjijiji, mitaa, kata na tarafa. Yaani mwanakijiji akiingia tu katika ofisi ya mwenyekiti au mtendaji na shida yake ni lazima adaiwe fedha kwa ajili ya hili au lile k.m barua za dhamana, barua za utambulisho n.k

  wananchi katika vijiji, mitaa, kata na tarafa zote tanzania hawapatiwi stakabadhi ya fedha wanazotozwa. Aidha wananchi hawasomewi
  hesabu za mapato na matumizi kuonyesha fedha nyingi sana zilizokusanywa na wenyeviti na watendaji wa wa jina la mitaa, vijiji, kata n.k zinatumika vipi?

  na ikumbukwe kuwa wengi wa wenyeviti na watendaji wa vijiji, mitaa, kata na tarafa ni kutoka chama tawala cha ccm, hata kama baadhi yao hujifanya kuwa hawana vyama au hawapendelei vyama vyovyote. Zipo taarifa zinazoonyesha kuwa hivi sasa yametolewa maelekezo kwa wenyeviti wa vijiji, mitaa, kata na tarafa kuhakikisha kuwa wanafanikisha kampoeni za wagombea wa ccm katika sehemu zao. Je katika mazingira haya ryushwa itakwisha kweli hapa tanzania?

  siku za nyuma dr slaa alikuwa akilipigia keleel sana jambo hili. Nafikiri amepitiwa kidogo katika kampeni hizi.   
 10. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #10

 11. B

  Bumela Senior Member

  #11
  Sep 21, 2010
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Huu ndio ukweli ningekuwa mchoraji ningelielezea kwenye katuni.
   
 12. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwani leo kuna FIESTA wapi?
   
 13. Charles Mtekateka

  Charles Mtekateka Verified User

  #13
  Sep 21, 2010
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 310
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45

  We angalia mabadiliko usiangalie watu wengine
   
 14. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #14
  Sep 21, 2010
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ndio maana inaitwa siasa.
   
 15. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #15
  Sep 21, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  I have said always, and I am saying once again,CHADEMA leaders are very smart in their decision making.They never mess up like CCM leaders do mess.

  I salute camarada Mbowe, I salute camarada Slaa, I salute camarada Zito Kabwe, I salute camarada Mnyika, I salute camarada Halima Mdee,I salute old camarada Mtei who blasted Jakaya Kikwete last week that is a shame for him to campaign for Lowassa who proved failure in his tenure as PM. This is a naked truth!!!I s a shame,shame,shame and shame again for to CCM campaign for all those CCM thugs who were listed in the LIST OF SHAME i.e. Lowassa,Mramba,Rostam Azizi, only to mention just a few of them.

  It doesn't click in my brain why CCM always use these youngsters and middle aged men/women of the Bongo Flavour/Kizazi kipya or the so called Orijino Komedi in their campaigns!!!They are fooling these group by telling them that they will be leaders of tomorrow!!!They are cheating them by giving them peanuts while in the real sense they are spending a lot in the name of CCM campaigns!! You boys and girls,wake up. Don't be cheated by CCM hooligans!!!!!!!!They are using you just like toilet papers!!!!!!

  They should know that for CCM the word "tomorrow" never comes!!!!!CCM is just wasting their time and at the end of the day they will be told that they not Tanzanian citizens. Let them ask Bashe,Salim Ahmed Salim,Jenerali Ulimwengu et cetere, et cetera. That is real CCM style!!!
   
 16. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #16
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,476
  Likes Received: 5,858
  Trophy Points: 280
  My take;
  Katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni katika Viwanja vya jangwani mwezi uliopita, Chadema ilipambwa na kikundi cha muziki wa kizazi kipya cha Sugu. Lakini baadaye nilisikia kwamba baadhi ya viongozi wa Chadema waliona ni vyema wakaachana na mambo hayo, hivo hivi sasa mikutano ya Chadema haipambwi na muziki.

  Sugu alishiriki kama mmgombea wa Jimbo la Mbeya Mjini
   
 17. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #17
  Sep 21, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ubatili mtupu nasema ubatili mtupu. wasanii hawahawa ndio walikua wanalia kua wametelekezwa na JK leo wanampamba. kweli wamekubali kua madekio kusafisha nyumba ya JK
   
 18. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #18
  Sep 21, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  JK anasindikizwa na "wenzake" ze comedy people! Sisiem maji ya shingo, hata wagombea wao wa ubunge wamefungwa midomo hakuna cha kusema, no midahalo au nini!
   
Loading...