Recent content by Andrew Puma

  1. A

    JamiiForums Tanzania Baba Askofi Azungumza kwa Hasira , Mauaji yanayondelea. Mungu amlinde...

    Kasema kweli kabisa..ila msema kweli huchukiwa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Picha: Hali ya Gaza kabla na baada ya Vita

    Dunia nikiwaza mambo ambayo yanatendeka huwa nakosa amani hata kama wapo mbali inauma
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ni miaka 15 toka mdogo wangu aondoke nyumbani hajawi kurudi tena, na wasaliano sina

    Polisi nimeenda ila mafanikio bado
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ni miaka 15 toka mdogo wangu aondoke nyumbani hajawi kurudi tena, na wasaliano sina

    Asante,,nikiwaza huwa naumia mkuu
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ni miaka 15 toka mdogo wangu aondoke nyumbani hajawi kurudi tena, na wasaliano sina

    Alikuwa na miaka 12 mkuu,,alianza kaka yangu aliondoka hivo hivo alikaa miaka kumi na yeye bila kujua yupo wapi ila sahivi amerudi lakini akili haipo sawa yaani hataki kulala nyumbani analala porini...ni maelezo marefu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ni miaka 15 toka mdogo wangu aondoke nyumbani hajawi kurudi tena, na wasaliano sina

    Habarini!! Nafikiri kama ilivyokawaida mapambano yanaendelea ili mkono uende kinywani. Naombeni ushauri imetimia miaka 15 toka mdogo wangu aondoke nyumbani hajawi kurudi tena na kupata mawasiliano hakuna,Inanithiri sana nimeenda huku na kule lakini mafanikio hakuna
  7. A

    JamiiForums Tanzania Wadau mwenye uelewa kuhusu ujenzi, hii nyumba itaendelea kudu kweli?

    Nadhani nyumba ya malkia ni kubwa kwa hyo itajenga kwa sultani
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kama hutaki kuwa Atheist au imani yako iyumbe usiisome Biblia kwa undani

    Hayo maneno tu hayana nguvu yeyote
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ipo siku ambayo vijana watakuja kugundua kuwa bodaboda zinawaumiza na kudai kupewa Kazi nyingine salama

    Nakuunga mkono ndugu maana hili jambo limethiri vijana sana kutokuwa na uelewa na kupokea mafundisho ambayo yanawapa hofu
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ipo siku ambayo vijana watakuja kugundua kuwa bodaboda zinawaumiza na kudai kupewa Kazi nyingine salama

    Ni uwezo wa mwanaume kusimamisha uume na kuufanya uwe imara kwa kushiriki tendo la ndoa na kumaliza vizuri
  11. A

    JamiiForums Tanzania Hawa jamaa siwawezi, wape neno, hata Hi!

    Huyo wa kwanza anaitwa nani
  12. A

    JamiiForums Tanzania JF ina waamasai ama ni mm tuh.

    Labda masai wa Kenya
Back
Top Bottom