Naomba nikujbu km ifuatavyo, Cjui zaman lkn kwa sasa hiyo elimu ya lishe ipo kwenye mtaala na kila mtaalam wa afya analazimika kusoma na kuijibia mitihan kama masomo mengine, lakini pia unaposoma kuhusu magonjwa unasoma chanzo, dalili, hathari, kinga na tiba kwa ujumla. Tukisalia kwenye chanzo...