Wataalamu njooni tujadili hili

maite dan

Senior Member
Mar 18, 2016
145
90
Naomba ufafanuzi
1. Je, kila mtaalamu wa afya anayo elimu ya lishe?
2. Kama sio kwanini kila mtalaamu anatoa elimu ya lishe?
 
Naomba nikujbu km ifuatavyo, Cjui zaman lkn kwa sasa hiyo elimu ya lishe ipo kwenye mtaala na kila mtaalam wa afya analazimika kusoma na kuijibia mitihan kama masomo mengine, lakini pia unaposoma kuhusu magonjwa unasoma chanzo, dalili, hathari, kinga na tiba kwa ujumla. Tukisalia kwenye chanzo, kinga na tiba, ndipo unakuja kuangalia chanzo ni nini kama ni ukosefu wa chakula ili utoe tiba lazima uangalie ni aina gani ya vyakula mgonjwa anapaswa kutumia mbali na kutoa dawa. Pili kama ni kinga lazima uangalie nia aina gani tena ya chakula ama vyakula mgonjwa au jamii inapaswa kutumia ili waepukan na tatizo hilo. Mfano ugonjwa wa anaemia una vyanzo vingi tuu ikiwepo hemorrhagic anaemia unaotokana na kutokwa na damu mda mrefu pindi unapopata majeraha au wanawake kipindi cha hedhi lkn pia kuna nutritional anaemia inayotokana na kukosekana kwa madini flani mwilini kama madini ya chuma yanayosababisha ironic anaemia. So lazima umwambie ale vyakula vitakavyo muongezea madini ya chuma mwilini. Kwa kumalizia hata km hatasoma elimu ya lishe km somo hatalisoma wakati wa kutoa tiba na kinga. Ahsante nadhani nimekujibu. By Dr Andrew Mgoyo
 
Back
Top Bottom