Recent content by Andrew Jr

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mwalimu, mwanafunzi wakutwa wameuawa ndani ya nyumba

    Tuna Imani na polisi walau watakuja na majibu
  2. A

    JamiiForums Tanzania Azam Media na hadaa za heri ya Christmas na mwaka mpya

    Kuna mchezaji wa Yanga anaitwa Jesus Moloko, kawasikilize wanavyotamka..jeziii moloko.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ukioa Mke Mwelewa na ukawa na mchepuko fundi umetoboa maisha

    Oa ndo utamwelewa
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mwanamke, kama hakugharamii achana naye, lazima ugharamiwe!

    Nikafikiri anayejiongelesha ni mwanamke kumbe ni mwanaume, usiishi kwa kukariri. Wenyewe hawajui hata unachosema..
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wanaume nijibuni swali hili kwa dhati ya mioyo yenu. Unapata nini katika ndoa ambacho mwanaume aliye single hapati?

    Nina guarantee tu ya nikiugua atanifulia, mengine hakuna
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wake zetu msilalamike kuwa tunachepuka, ninyi ndio mnasababisha

    Wangu Ana degree yake saafi kabisa. Anawaza 50/50 Ukitoka kazini anakushangaa tu, totally no care, kujishusha hawataki kbsaaaa...mdomo sasa
  7. A

    JamiiForums Tanzania Heshima kwa Brothers mliooa na mnaishi kwa upendo, amani na furaha katika ndoa zenu

    1/10. Kabla ya kuolewa ni malaika baada ya kula mkataba hakuna rangi utaacha kuiona. Kinacholeta shida sahizi wanataka 50/50 ndo mana wanapata shida sana. Dada poa wanajitahidi sana kuendelea kuokoa ndoa nyingi. Kwa sasa kuoa wengi wanawaza mara 100.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Witness from the front line: Hili zoezi la sensa mlioko juu msiporekebisha haya kwa haraka tegemeeni taarifa mbovu kuwahi kutokea

    Hongerq sana mzalendo. Yamkini umeuelewa mfumo huo kwa haraka sana na madhaifu yake. Kati ya sehemu ya kumulikwa haraka ni mfumo huo vinginevyo zoezi zima litachukua muda mrefu sana na lisiwe na majibu. Serikali yetu ni sikivu, nina imani wataliona hili
  9. A

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wachoma moto pikipiki ya mwalimu, wafyeka shamba kisa adhabu ya kukutwa na simu shuleni

    Mobb psychology. watakuja kugundua hayo wakati wanatumikia kifungo, na wakati wazazi wao wanalipa mali zilizoharibika
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kumuoa binti msomi

    Jitahidi umzidi akili na fedha. Ukishindwa haya utalala na viatu. Sijui Kama umenielewa Sent from my G8 using JamiiForums mobile app
  11. A

    JamiiForums Tanzania Siamini Mkuu wa Wilaya amejiuzia gari la Serikali la Milioni 180 kwa shilingi milioni 4

    Wakuu wa wilaya gari zao ni V8. Mathalani limefikia hizo km 250,000 ulizosema., We ungeuza shilingi ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. A

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

    70% ya mil 45+ ni mashoga? Sijajua vigezo ulivyotumia, Nina wasiwasi na uelewa wako . Sina Imani Kama unajua maana ya 70% Sent using Jamii Forums mobile app
  13. A

    JamiiForums Tanzania Harmonize Amgawia Q Chief Gari

    "Utoapo sadaka kwa mkono wa kulia, hata wa kushoto usijue"
  14. A

    JamiiForums Tanzania Daladala za Dar zaruhusiwa kusafirisha abiria kwenda Moshi na Arusha

    Akijua maana yake nahisi atawahi central kutarifu
Back
Top Bottom