Azam Media na hadaa za heri ya Christmas na mwaka mpya

Naona Azam Media ni kama wanajilazimisha kutoa salamu za Christmass kwa watazamaji wao, maana matangazo yao yote wanaishia kuliruka neno Christmas na kutaja heri ya Mwaka Mpya.

Binafsi naona kama wanajichosha bure tu tu sijui ni katika Muktadha wa dini yao kupingana na shamra shamra za Christmass maana Jingle wanatumia za Christmass ila kulitamka wanapata kigugumizi.

Nawasihi Azam Media wajikite katika kuheshimu imani za watazamaji wao wote maana wao wamejitanabaisha kama Media isiyo na udini lakini kwa ndani wana itikadi za kidini kwa kubeza dini moja na kuheshimu imani moja pekee.

Azam Media Badilikeni, tambueni kuna Great Thinker tunawafuatalia kwa karibu pamoja na maudhui yenu.
Kuna mchezaji wa Yanga anaitwa Jesus Moloko, kawasikilize wanavyotamka..jeziii moloko.
 
Azam wanajisaau ,kwanza siku hizi Quality ya matangazo ya Mpira wa Miguu imekuwa ya hovyo kabsa n vile hakuna Channel nyingine inayoonesha mpira.Sound na Picha low quality baadhi ya matukio hawaoneshi.
Baraka Mpenja siku hzi apiga story za mpira badala ya kutangaza mpira.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Kwa ufupi biashara za bakhresa na wao wenyewe ni waislam ambao hawaungi mkono dini nyengine yoyote zaidi ya islam.

Hivyo basi, kutokana na imani hiyo ni vigumu sana kuupa airtime ukirisito hata kwa paid tariff time, boat, hotel, tv station mpaka ajira kipaumbele ni islam.

Mfano Hotel Verde inapata 75% ya wageni wazungu ambao mnawafaham as mashoga na haohao wagaratia ndiyo wenye ukirisito na krisimasi, lakini jamaa kagoma kuweka hata ule mti wa kipindi cha baridi hotelini kwake.

Kuna hoteli za islam kibao lkn waneweka hayo madude ya sikukuu mpaka Jimmy Reeves tunamsikia akiimba humo.

UDINI.
 
Naona Azam Media ni kama wanajilazimisha kutoa salamu za Christmass kwa watazamaji wao, maana matangazo yao yote wanaishia kuliruka neno Christmas na kutaja heri ya Mwaka Mpya.

Binafsi naona kama wanajichosha bure tu tu sijui ni katika Muktadha wa dini yao kupingana na shamra shamra za Christmass maana Jingle wanatumia za Christmass ila kulitamka wanapata kigugumizi.

Nawasihi Azam Media wajikite katika kuheshimu imani za watazamaji wao wote maana wao wamejitanabaisha kama Media isiyo na udini lakini kwa ndani wana itikadi za kidini kwa kubeza dini moja na kuheshimu imani moja pekee.

Azam Media Badilikeni, tambueni kuna Great Thinker tunawafuatalia kwa karibu pamoja na maudhui yenu.
Kuna tamaduni nyingine huwa hazibadiliki, zinabaki na ukale katika ulimwengu wa kisasa
 
Naona Azam Media ni kama wanajilazimisha kutoa salamu za Christmass kwa watazamaji wao, maana matangazo yao yote wanaishia kuliruka neno Christmas na kutaja heri ya Mwaka Mpya.

Binafsi naona kama wanajichosha bure tu tu sijui ni katika Muktadha wa dini yao kupingana na shamra shamra za Christmass maana Jingle wanatumia za Christmass ila kulitamka wanapata kigugumizi.

Nawasihi Azam Media wajikite katika kuheshimu imani za watazamaji wao wote maana wao wamejitanabaisha kama Media isiyo na udini lakini kwa ndani wana itikadi za kidini kwa kubeza dini moja na kuheshimu imani moja pekee.

Azam Media Badilikeni, tambueni kuna Great Thinker tunawafuatalia kwa karibu pamoja na maudhui yenu.
Huu ndio unaitwa UNAFIKI. Maana halisi ya neno UNAFIKI
 
Waarabu wanavimba ndani ya nchi yetu

Wanajiona wajanja kwasababu ya ligu kuu

Hawajui inahitaji dkk moja tu azam kupotea hewani warudi kwao

Wanaweza wasipotee ndani ya miaka sita ijayo kwasababu fulani
ila mienendo yao lazima wataondoka

Muda ni mwalimu
Maneno ya mkosaji
 
Back
Top Bottom