Recent content by Andres

  1. Andres

    JamiiForums Tanzania Nashukuru sikuzaliwa mkiristo

    Kwakweli, maana biashara ya kuabudu mwezi angeifanya nani😂
  2. Andres

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mnajiamini sana aisee

    Na hiyo anayekuja naye ni jasiri, maana unaenda kulala na mwanaume humjui, labda anachuna ngozi, labda mchawi, labda ana maumbile makubwa mno, labd wapo wengi, kwa sh 20k unaenda kulala naye
  3. Andres

    JamiiForums Tanzania Achana na matumizi ya mafuta, tumia gas kwenye engine yako ili kuokoa gharama

    Ninauza mfumo mzima wa gesi katika gari yangu Premio, maana na gari naiuza... Mil 1.8
  4. Andres

    JamiiForums Tanzania Ushawahi Kupokea muujiza gani ukaamini kuwa Mungu yupo?

    Kuwa hai tu mpaka muda huu unasoma hii comment ni muujiza ndugu
  5. Andres

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuzaa kabla ya kuoa umri unaenda, naombeni ushauri

    Wakuu kwema ? Nilikua na wazo la kuzaa kabla ya kuoa kutokana na presha ya ndugu na jamaa, ya kutaka mjukuu kama tunavyojua familia zetu. Lakini baada ya kuongea na baadhi ya watu wenye uzoefu kidogo, wengi wamepinga na kusema ni stress sana kuzaa kabla ya kuoa kama hutoishi naye huyo...
  6. Andres

    JamiiForums Tanzania Bima ya afya nzuri ya kutibiwa hospital nzuri za pirivate

    Shukrani mkuu
  7. Andres

    JamiiForums Tanzania Bima ya afya nzuri ya kutibiwa hospital nzuri za pirivate

    Thanks..unalipa sh ngapi ?
  8. Andres

    JamiiForums Tanzania Bima ya afya nzuri ya kutibiwa hospital nzuri za pirivate

    Mkuu shukrani sana Kwa maelezo mazuri na ye yenye uketo, na fkra tunduizi... nitalifanyia kazi
  9. Andres

    JamiiForums Tanzania Bima ya afya nzuri ya kutibiwa hospital nzuri za pirivate

    Shukrani mkuu, nilipendelea consumer experience kwanza maana hawa wauzaji mara nyingi wanafichaga taarifa kwenye lumbesa
  10. Andres

    JamiiForums Tanzania Bima ya afya nzuri ya kutibiwa hospital nzuri za pirivate

    Wakuu Habari za wakati huu? Kwa muda mrefu Niko natumia Bima ya afya ya NHIF ya serikali ya kawaida hii, ni nzuri Kwa sehemu yake. Ila Ina changamoto kidogo Kuna hospital hawaipokei mfano Aga Khan nk. Sasa nataka nifahamu options ya bima nyingine ambayo naweza kuitumia sehemu kama Aga Khan...
  11. Andres

    JamiiForums Tanzania Pata madirisha aluminium na milango

    Ina maana Kwa dirisha la 5*6 Kwa mfano, nikishalipia hiyo Hela ndo inajumuisha Kila kitu mpk zile nyavu ? I mean vipande vitatu vyote vya dirisha , kazi yangu ni kufunga na kufungua tu ?
  12. Andres

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Mpira wa ujanja ujanja ushaisha muda wake[emoji23][emoji23]
  13. Andres

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kidokezo kwa wadada ambao hawajaingia mahusiano rasmi

    Deep
  14. Andres

    JamiiForums Tanzania Wapi kuna intaneti yenye kasi nzuri?

    Unauza nini hapo mkuu ? Duka lako linaitwaje ?
  15. Andres

    JamiiForums Tanzania Wapi kuna intaneti yenye kasi nzuri?

    [emoji16][emoji16]wabongo bhna, shukrani mkuu
Back
Top Bottom