Eti ujanjaa ujanjaNilikuwaga nashangaa ule mpira wa Madrid wa ujanja ujanja kweli niwakutufunga sis ..![]()

ila Leo Madrid kakamatwa sio poaaHawa Madrid walikua wana mpr wa kitapeli tu na bht nasibu nyng na mbeleko nyng upande wao.Mpira wa ujanja ujanja ushaisha muda wake![]()



Mara ooh ni wenye kombe ,mara watapiga come backSi tulikubaliana madrid nusu fainali huwa hawafungwi?![]()





️ #RealMadrid
“Our opponent for the final? I want to avoid Real Madrid, this competition is made for them.”Unawakuta watu wamekomaa eti ooh madrid wana DNA sijui vitu gani, DNA my footMara ooh ni wenye kombe ,mara watapiga come back
Jana watu wamesubili come back mpaka dakika ya 90+![]()
