Recent content by Andrea cilipan

  1. A

    Hati fungani zaporomoka hadi asilimia sita, riba ya BOT yashushwa mpaka asilimia 11 kwa mabenki ya biashara

    Sasa issue siyo tu kuwa kuna mafuta singida. Issue ni quality ya mafuta ya singida . Cha msingi kodi za mafuta kutola nje ziongezwe at the same time ss pia our final products ziwe nzuri zikikaribkana au kutingana na za nje.
  2. A

    Waziri Mwakyembe amshukia Diamond. Asema umarufu utamgharimu, hawezi bishana na Shonza na atapotea kubishana na Serikali

    Kwani kama Shonza alikurupuka hasiambiwe,? Nani alipaswa kutumia ustaarabu wa kumpelekea mwenzie barua? Hacheni kutisha watu kisa wametoa maoni yao. Mtu anatengeneza wimbo wake kwa 20 to 50 M alafu wewe unaamka asubuhi eti umeufungia. Nyimbo kibao za kimarekani na ki congo zinapigwa kwenye tv...
  3. A

    Japo umegharimiwa kwa machozi, jasho na damu, ulikuwa huru na wa haki!. Hongera CCM, CHADEMA poleni!. Mungu saidia Tz

    Msimsone paskal kwa mihemko na kishabiki. Wenye akili tu ndio watamuelewa.
  4. A

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Liverpool wanakosa first class goalkeeper. Bao la Wanyama keepee alisababisha ile punch ame punch as if anatoa assist. Pia siyo mzuri wa kuanzisha mashambulizi. Mignolet na huyu Kralius kula siku wanafnya silly mistake zinazo cost timu point. I think klopp anapaswa kutafuta kupa world class.
  5. A

    Rais Magufuli ashangaa Majaji kwenda likizo Ulaya kwa gharama zao, amtaka Jaji Mkuu kuchunguza

    Na wewe una li roho la kimasikini tu. Mkuu wa mkoa wa dar alienda likizo marekani watu waka hoji kwa mshaara gani alionao. Mbona hatukusikia mnapiga kelele? Mtu kaishasema wanaenda kwa pesa zao. Issue kama ni watu kuiba uko serikalini mtu anaweza kuiba still hasisafiri nje ya nchi. Tusiwe na...
  6. A

    Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

    Kuna msemo kwenye bible unasema husimuavbe elimu aende zake. Mshike sana elimu. Hii ina apply wether ur beliver or not. Sasa mtu kwa kuwa hajawahi kusoma ata kitabu kimoja ndani ya miaka 5 alafu Ontario anakwambia amesoma vitabu 80 ++ kwa mwaka mmoja tu bado unatakauanze kubisha. Na unaenda...
  7. A

    Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

    Uelewa wake ndio umekomea hapo. Yy anadhani wanavyo sema copy ni kama photocopy za kwenye makaratasi ;haimuingii akilini kabisa. Angeweza kujishugulisha ata kwa dk 5 tu kutafuta ukweli angeona nyumba hiyo wameishatengeneza. Zamani Galileo mwana sayansi wa kwanza aliyesema kitu tifauti na mapokeo...
  8. A

    Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

    Low life ;low mind. Kumbe napoteza muda kuongea na punguani wahed
  9. A

    Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

    People who are complaining kwa sababu ya kupoteza pesa kwenye forex eti kwaajili ya Ontario ni wapuuzi; Wewe mzazi wako akikupeleka shule uka fail huwezi kusema umefail sababu babako kakupeleka shule. Forex ilikuwepo ata kabla ya Ontario hajaileta mada hapa JF . Na it will be there ;watu...
  10. A

    Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

    Haters. Be inspired. Wewe mwenye ushaidi kuwa ni tapeli kwann haujamfikisha kwenye vyombo vya sheria . Ontario yupo na ofc zake zinaeleweka uzuri hapa Jf aliweka namba za simu na ofc yake ipo ;wewe wala hatujui ata physical address yako wala ata jina lako kamili. Sasa nani tapeli?
  11. A

    Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

    Don't hate ;be inspired. Kama ungelikuwa na uelewa mdogo tu ungefanya research yako ;si ajabu wewe hapo unapotokwa povu ndani ya mwaka mzima haujawahi soma ata kitabu kimoja. Alafu ata haujawahi kutoka nje ya Africa. Kwa waelewa amabao wametembea mbele uko vitu hivi vina make sense
  12. A

    Fursa ya FOREX kwa kanda ya ziwa imefunguliwa na Mr. ONTARIO

    Jamani watu wa mza na kanda ya ziwa tunaweza kutengeneza link tukajikusanya tupate idadi yetu.
  13. A

    Manny Pacquiao amtakia ushindi mwema Floyd ila amemsisitiza asikimbie kimbie uwanjani.

    Tupieni link tuone mpambano Sent using Jamii Forums mobile app
  14. A

    Hatimaye mfalme wa ISIS ameuawa

    Unapenda kufa unaongea ukiwa kwenye keyboard;wenzio wapo Mosoul uko .nyooo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom