Recent content by Anatoy

  1. Anatoy

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Account yangu ya Facebook imedukuliwa

    Naombeni wadau msaada kwa hili. 0756286835
  2. Anatoy

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Tangu Rais Samia aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa kasi, ni zaidi ya Jumla ya ukuaji wa Uchumi wa nchi za Kenya na Uganda

    Anatafuta uteuzi maana ukijipendekeza lazima upewe shavu. Kumbuka aliondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa mkoa wa Simiyu.
  3. Anatoy

    JamiiForums Tanzania Raia Mwema: Safari ya Halima Mdee na wenzake kuelekea ACT Wazalendo yaiva

    Gazeti limesema ukweli wajinga tu ndiyo watapinga.
  4. Anatoy

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu na Mkuu wa mkoa Amos Makalla msimshambulie Lissu, shambulieni hoja zake

    Lissu siyo mnyiramba. Uliza uambiwe hao ni watani wa jadi Mwigulu ma Makala ni wanyiramba,Lissu ni mnyaturu. Kama ungesema wanatoka mkoa mmoja labda ungeeleweka lakoni hata hivyo Amosi Makala ni wa Morogoro.
  5. Anatoy

    JamiiForums Tanzania Hii kusema "huko kwa kina Kassim" ina maana gani?

    Ajitafakari maana huenda akasahaulika kabla 2025
  6. Anatoy

    JamiiForums Tanzania Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!

    Nimesikitika sana kwa maandiko ua ushabiki
  7. Anatoy

    JamiiForums Tanzania Iwapo Nape anamaanisha Magufuli ni GodFather wa PolePole atastahili kuomba radhi mapema

    Dikteta hakuwa mwadilifu
  8. Anatoy

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa kusimamisha nchi trh 3/12 katika mahojiano maalum na TBC

    Ujinga wa kiwango cha lami.
  9. Anatoy

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

    Nimejiuliza sana juu ya kinachoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa nimeshindwa kuelewa nini hasa malengo ya watawala kwenye uchaguzi huu. Nimejaribu kuangalia nchi nyingi hasa za Ulaya na America ambazo zimepiga hatua kwenye maendeleo, uchumi,elimu, demokrasia n.k Sijawahi kusikia kitu Kama hiki...
  10. Anatoy

    JamiiForums Tanzania Siku mabeberu wakichoka kumvumilia kiongozi wa malaika ndiyo mtajua dunia ina wenyewe

    Umepayuka bila kufikiri.
  11. Anatoy

    JamiiForums Tanzania Hawa wanawake wana ndoa?

    Nia na madhumuni yako ni nini?
  12. Anatoy

    JamiiForums Tanzania Nchi imesimama, hali ya maisha ni mbaya sana

    Bado natafakari sijajua kwa maisha tuliyonayo sasa Watanzania ni wapi tunapelekwa na utawala huu maana maisha yamekuwa kama tunaishi kuzimu maana hali ni mbya sana. Tunaoweza kusema tuseme na tuwaambie watawala kuwa haya sio maisha tuliyopaswa kuishi huku tukisema Tanzania ni Nchi huru. Kwa...
  13. Anatoy

    JamiiForums Tanzania CCM yatabiriwa ushindi mkubwa

    Sijawahi kuona wala kusikia ujinga wa kiwango hiki.
  14. Anatoy

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Tunaweza kuwa na ‘Magufuli Ruling Party’ na mambo yakaenda vizuri kabisa

    Ubaguzi umeenea sana kwenye jamii yetu.
  15. Anatoy

    JamiiForums Tanzania Orodha ya masakata ambayo sikutegemea Kama yangemalizwa kinyemela namna hii

    Milioni 50 kila kijiji.
Back
Top Bottom