Nchi imesimama, hali ya maisha ni mbaya sana

Anatoy

JF-Expert Member
Jun 22, 2015
332
222
Bado natafakari sijajua kwa maisha tuliyonayo sasa Watanzania ni wapi tunapelekwa na utawala huu maana maisha yamekuwa kama tunaishi kuzimu maana hali ni mbya sana.

Tunaoweza kusema tuseme na tuwaambie watawala kuwa haya sio maisha tuliyopaswa kuishi huku tukisema Tanzania ni Nchi huru.

Kwa maisha haya uhuru unakuwa hauna maana.
Uhuru bila maisha bora ni ujinga.

Tukisubiri kuona watu barabarani wamekufa huenda tutaelewana maana kwa sasa kuna watu wanajifanya vipofu.
 
Acha kuwashtua wafanyakazi wewe, Serikali tunajiandaa na uchaguzi mwakani.
Tutawapoza kwa sare na vikamisheni vidogo vidogo watapoa tu.
 
Bado natafakari sijajua kwa maisha tuliyonayo sasa Watanzania ni wapi tunapelekwa na utawala huu maana maisha yamekuwa kama tunaishi kuzimu maana hali ni mbya sana.

Tunaoweza kusema tuseme na tuwaambie watawala kuwa haya sio maisha tuliyopaswa kuishi huku tukisema Tanzania ni Nchi huru.

Kwa maisha haya uhuru unakuwa hauna maana.
Uhuru bila maisha bora ni ujinga.
Tukisubiri kuona watu barabarani wamekufa huenda tutaelewana maana kwa sasa kuna watu wanajifanya vipofu.
Ndio vizuri mnapata mazoezi ya kuishi kuzimu. Watanzania kuzimu mtapeta sana.
 
Bado natafakari sijajua kwa maisha tuliyonayo sasa Watanzania ni wapi tunapelekwa na utawala huu maana maisha yamekuwa kama tunaishi kuzimu maana hali ni mbya sana.

Tunaoweza kusema tuseme na tuwaambie watawala kuwa haya sio maisha tuliyopaswa kuishi huku tukisema Tanzania ni Nchi huru.

Kwa maisha haya uhuru unakuwa hauna maana.
Uhuru bila maisha bora ni ujinga.
Tukisubiri kuona watu barabarani wamekufa huenda tutaelewana maana kwa sasa kuna watu wanajifanya vipofu.
Nchi ya mitandaoni. Wake up and live!
 
Lini imewahi kuwa nzuri?
 
Aaaagh!Nadhani huyu jamaa hajui kufunga mkanda kazoea suspenders kazi ipo!.Si tushatoboa vitobo na kukata mkanda hadi balaa!
 
Nilikuwa na mpenzi wangu,
Tulipendana kama nyama choma,
.................
Oooh Stella wangu!

Brother believe me, today is week end starting..........
 
Ni kweli Mambo magumu , wameshindwa kulipa madeni ndege inakamatwa .
Tunajisifu nchi yetu tajiri tunagharamia stigler kwa hela zetu halafu tunashindwa kulipa Deni tunaahibishwa tunatiwa hasara kuwalipia abiria hotel na kuwatafutia ndege nyingine.
Halafu mjinga anakwambia tupo kwenye right track
 
maisha ni mazuri hakuna kusema vyuma vimekaza, wee kama ulikuwa unapata mshahara kulingana na kazi afu leo unapiga kelele vyuma vimekaza ni dhairi mwizi wewe.

ulikuwa unaishi kwa dili na upigaji, mtu wa mshahara hauwezi somesha kijiji kizima, hauwezi saidia watu kibao ule ni upigaji. hii ndio hali halisi.

watz uwa tunashangaa nchi fulani kuandama ssbu ya kupanda bei ya mkate, umeme, petroli kwa sababu ss dili na upigaji inasaidia kuziba pengo la bajeti. hii hali ni nzuri itasaidia pia watu kufikiri na kuwajibika
 
nchi kamwe haitasimama, ila sisi kwa namna moja au nyingine tena ktk mmoja mmoja ndio utasimama.

labda nchi ipigwe boom
 
Back
Top Bottom