Waziri Mwigulu na Mkuu wa mkoa Amos Makalla msimshambulie Lissu, shambulieni hoja zake

Kwenye tukio la leo amenza mkuu wa mkoa kumshambulia Lissu kuhusu alilosema la Rais kukaa miezi 9 na kukopa trillion 10.

Akaenda mbali na kusema kwanza hana mbunge hata mmoja Bungeni.

Lakini kwa uchaguzi ule ulivyokua mlitegemea Lissu mbunge amtoe wapi?

Wekeni mizani sawa alafu nendeni kwenye uchaguzi ndio muanze kumshambulia Lissu.

Mwigulu nae hakupaswa kuungana na mkuu wa mkoa kumshambulia Lissu, Bali hoja zake lakini nilichoona mmejibu juu juu tu.

Mwigulu anasema Kuna mikopo mmesaini ya world bank, Ila hujasema ni kiasi gani.

Lissu alikua na hoja na ni haki yake kuhoji.

Kama sasa mmeanza kushindwa kujibu hoja zake akiwa huko, akirudi?
Hawa ni wasaka vyeo
 
CCM hawajui kujibu hoja ma hawana uwezo huo badala yake humshambuloa mtoa hoja na kumshughulikia. Hata kisa cha Lissu kushambuliwa kwa risasi ni uwezo mdogo wa viongozi kujibu hoja. Hata Mbowe leo ana kesi fake kwasababu viongozi wa serikali na ccm hawana uwezo wa kupambana naye kwa hoja
 
Tumechoka kuzungumzia hoja mfu za Lissu. Si chochote si lolote kwa nchi hii. Give us break. Kazi iendelee Mama.
Hujafa hujaumbika kumbuka aliyempiga Risasi LISSU ndio KAFA na KAOZA
JamiiForums249808913.jpg
 
Lisu, Mwigullu na Makalla ni wanyiramba hao wanajuana!
Lissu siyo mnyiramba.
Uliza uambiwe hao ni watani wa jadi Mwigulu ma Makala ni wanyiramba,Lissu ni mnyaturu. Kama ungesema wanatoka mkoa mmoja labda ungeeleweka lakoni hata hivyo Amosi Makala ni wa Morogoro.
 
Mwanangu ana miaka minne na nusu anauliza Lissu ndio nani,nikamwambia ni zuzu mmoja hv kibaraka wa mabeberu,akacheeeeeka,akaniambia kwa nini anaishi kama ni msaliti hivyo,nikashangaa sana,akaniambia laiti kama yeye angekuwa Rais,hakuna msaliti angesalia,nikamwangaliaaaaaaaaaa,nikamuigopa sana
 
Huyo mnayemtetea hayuko nchini yapata miaka minne sasa na nchi inasonga kama kawa!

Tanzania haina mungu mtu, na mmwambie, nchi Haihitaji ushauri wake, na sio wa mhimu kuliko 60m ya watanzania!

Msujinga ujinga tuu, yeye ni mmoja tuu, hatuwezi kumfanya wa kumtegemea kiasi cha akili zenu zisifanye kazi!

Upuuzi mtupu
Mtu mzima unakosaje akili???tuburuzwa bila upinzani bungeni,na huu ndo ukweli.inasonga wapi??
 
Kwanini kila mara mnashindwa
Kwanini kila mara mnashindwa kujibu hoja zake?
There is an African proverb which says that "You will never reach your destination if you stop and throw stones at every dog that barks against you "
Maana yake ni kuwa ukikaa kumtupia jiwe kila mbwa anayekubwekea katika safari yako, hautafika mwisho wa hiyo safari .
Lissu ni sawa na mbwa anayebweka ovyo. Serikali ni lazima impuuze ili isonge mbele.

Kama umewinda unajua, siku zote mbwa anayebwaka ovyo ovyo porini hafai kwa ajili ya uwindaji. Ni hasara sana kwa mwindaji. Lissu kwa kubweka kwake ovyo ovyo ni hasara pia kwa Chadema katika uwindaji wake wa uongozi wa nchi.
 
Ni Lisu pekee ndo mwenye nia njema nchi hii!
CCM yeyote, tusitegemee!
 
Huyo mnayemtetea hayuko nchini yapata miaka minne sasa na nchi inasonga kama kawa!

Tanzania haina mungu mtu, na mmwambie, nchi Haihitaji ushauri wake, na sio wa mhimu kuliko 60m ya watanzania!

Msujinga ujinga tuu, yeye ni mmoja tuu, hatuwezi kumfanya wa kumtegemea kiasi cha akili zenu zisifanye kazi!

Upuuzi mtupu

Acha kupanick mzee, meza dawa zako za kisukari maana mechi ni ngumu hii. Lisu tunamuelewa kuliko unavyodhani.
 
Kwenye tukio la leo amenza mkuu wa mkoa kumshambulia Lissu kuhusu alilosema la Rais kukaa miezi 9 na kukopa trillion 10.

Akaenda mbali na kusema kwanza hana mbunge hata mmoja Bungeni.

Lakini kwa uchaguzi ule ulivyokua mlitegemea Lissu mbunge amtoe wapi?

Wekeni mizani sawa alafu nendeni kwenye uchaguzi ndio muanze kumshambulia Lissu.

Mwigulu nae hakupaswa kuungana na mkuu wa mkoa kumshambulia Lissu, Bali hoja zake lakini nilichoona mmejibu juu juu tu.

Mwigulu anasema Kuna mikopo mmesaini ya world bank, Ila hujasema ni kiasi gani.

Lissu alikua na hoja na ni haki yake kuhoji.

Kama sasa mmeanza kushindwa kujibu hoja zake akiwa huko, akirudi?

Ahoji kama nani. Arudi nyumbani. Unadhani huku hawa wazungu wanatupenda. Rangi hizi hazijawahi pendwaaaaa na wazungu. Kaa ulaya utajua.
 
Back
Top Bottom