Recent content by anatory antony

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, huu ushauri ni sahihi?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  2. A

    JamiiForums Tanzania Jamani kubet kunanitesa sana

    Mimi nilianza kubet tangu mwezi wa 8 mwaka jana, kwa kuanza tu nilimpiga mhindi wa Sportpesa t Sh. 610000/= ikafuata 430000/= ikafuata 600000/= nikamkosa kumpiga ml. 43, r. Madrid ndo aliniaribia nilikuwa na mikeka 9 yote ilikuwa tayari ikimsubiria Madrid dhidi ya betis kama sikosei na katika...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Picha: Kila la heri Simba SC na Yanga FC wawakilishi wetu wakimataifa

    Kwani mechi zitachezwa saa ngapi?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kipi ambacho hakina janja janja nyingi?

    Bora kubet kuliko biko au tatu mzuka.
  5. A

    JamiiForums Tanzania China yasema tishio la Trump kufunga biashara nayo Halikubaliki na ni Uonevu

    Juzi tu mwezi June ndo kazindua ndege ya abiria yenye uwezo wa kubeba watu 180, sasa kama hata ndege ya abiria ya kwake mwenyewe hakuwa nayo, hizo unazosema za kijeshi hatari kazitengeneza lini. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. A

    JamiiForums Tanzania China yasema tishio la Trump kufunga biashara nayo Halikubaliki na ni Uonevu

    Kama swala la kuwa na population kubwa ndo kuwa tajiri basi China angeongoza uchumi wa dunia na siyo usa. Angeongoza China akifuatiwa na india, lakini kwa kuwa hicho siyo kigezo peke yake cha kuwa na nguvu za kiuchumi basi ndo maana unakuta nchi zenye population ndogo kama UK ni tajiri sana...
  7. A

    JamiiForums Tanzania China yasema tishio la Trump kufunga biashara nayo Halikubaliki na ni Uonevu

    Hata Congo wanayo ya kutosha. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. A

    JamiiForums Tanzania China yasema tishio la Trump kufunga biashara nayo Halikubaliki na ni Uonevu

    Kwa hiyo CNN wakae muda wote wanakusubiria wewe mpaka uone hiyo taarifa ndo waendelee na mambo mengine. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa Roho nini? Uko wapi?

    Nafsi na roho si kitu kimoja, kuna vitu vitatu hapa mwili, nafsi na roho 1. Mwili ni huu tulio nao, damu na nyama na maandiko matakatifu yanasema: mwili na damu havitaurithi ufalme wa Mungu. Inamaanisha wanaoishi kimwili pamoja na kutaka kuuridhisha mwili kwa matamanio yake yote. 2. Nafsi ni...
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

    Wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, mahakama ya juu nchini Kenya imeamuru time ya uchaguzi IEBC kuandaa uchaguzi mwingine ndani ya siku 60. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. A

    JamiiForums Tanzania TTCL mnachemka tena, ila offer zenu nzuri

    Ni kweli kabisa, Mimi nikiwa maeneo ya Ilala mtandao unasimama wima kabisa ila nikija maeneo ya mwananyamala ujiji mtandao unakata kabisa. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. A

    JamiiForums Tanzania Halotel mnatuibia wateja wenu

    Hamieni Ttcl jamani ndo mambo yote. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inawezekana kupata mwenza ukiwa na uwezo wa kufanya 'goli' moja?

    Nionavyo Mimi ni kwamba mpaka sasa hujiamini tena, ila ninachokushauri, hilo tatizo lina ufumbuzi wake tena ndani ya mwezi mmoja tu utakuwa safi tu, nitafute nikupeleke kwa Dr. Wangu. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. A

    JamiiForums Tanzania Antonio Conte Ligi ya Uingereza ni Tofauti na Ile ya Italia Baba.

    Kweli kabisa. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. A

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu anagoma kufa mpaka amuone mtu anayemhitaji kumuona?

    Kumbuka hata yule nabii Mzee wa kwenye biblia aliyeambiwa na Roho mt. Kwamba hatakufa mpaka atakapomwona masihi ( yesu) na baada ya yesu kuzaliwa yule Mzee alipomwona, alisema hivi " sasa Bwana waweza kumchukuwa mtumishi wako apumzike kwa amani. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom