Ndio pale jana kwenye maswali alitakiwa aulizwe nini kilitokea un akafanya miaka mitano wakati bank moon anaendela mpaka leo,si dhani kama angetoa jibu la kueleweka ila ukweli alishindwa kufanya vizuri,jaman alishindwa un,akipewa nchi ataweza kweli,Mungu atunusuru.
Kuhusu nyumba unasema ina thamani gani mfano kama ni 50m inapigiwa mara 0.15% ndio utakayolipia,ukija office za bima tunakupa form utajaza baadaye tunakupatia policy document ambayo itakuelezea vitu ambavyo viko covered,kuhusu pikipiki unakija na kadi za pikipiki na unatuambia thamani ya...
Mange lazima amjandie January kwa kuwa urafiki wake na na mwamvita aupo tena,mwanzoni alikuwa anajidai kumsupport January lakini sasa hayupo karibu na familia hii toka alivyokisana na mwamvita,naakikosana ma mtu kazi yake nikushusha matusi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.