Recent content by anangisye2

  1. anangisye2

    My Room mate

    [emoji3][emoji16] atakwambia sogea shemeji yako anataka badirisha nguo.
  2. anangisye2

    Leo Mei 9 kazaliwa Maxence Melo, tumtakie maisha marefu

    Happy birthday brother thanks for being a founder of the best forum in Africa.....Nimejifunza mengi kupitia mtandao huu pendwa kwangu.Mungu akupe afya na maisha marefu yenye fursa endelevu Kama hii ya jamii forum.
  3. anangisye2

    Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

    Aaaah[emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji3]
  4. anangisye2

    Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Kuna Watu wanashakilia kabisa daaah kweli people are difference.
  5. anangisye2

    Movie Classic Na Katuni za Watoto

    Tuonjee moja
  6. anangisye2

    Mshahara hauongezwi sababu watumishi wengi hamuoneshi thamani yenu kazini

    Ukitaka kujua thamani ya watumishi wa Uma tafuta takwimu za ukuaji wa uchumi yaaani uwezi sema watumishi hawaoneshi thamani yao wakati uchumi umepanda... Unasikii elimu Safi, miundombinu Safi, nishati Safi, afya Safi, karibia sekta zote selikali be ipo vizuri .....thamani ya watumishi...
  7. anangisye2

    Nchi zilizotoa vibali vya maandamano ya kupinga Serikali ya Rais Magufuli ni adui wa siri na Tanzania

    Ukirudia kuandika upuuzi Kama huu nakulogaa usijue kusoma Wala kuandika......mnatujazia thread tuu.
  8. anangisye2

    Mada: Gharama za Nyumba za kupanga vs kukopa kujenga

    Binafsi nakushauri kuwacheki watu wa real estate Kuna kampuni zinakopesha nyumba Ni Bora ulipie nyumba hata miaka kumi kuliko uchukue mkopo wa kiwanja then mkopo wa nyumba unapita njia ndefu mkuu.
  9. anangisye2

    Tathimini ya utawala wa Magufuli

    Amekubali vijana wamshauri lakini si bashite.....He is popansity based Sent from my TECNO WX3LTE using JamiiForums mobile app
  10. anangisye2

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Penati halali tatizo zenu Muda ndio unaotoa halali wa penati.....
  11. anangisye2

    Peter Msigwa: Kuna propaganda za makusudi kujaribu kunichafua kuwa nimetelekeza Mtoto Dar es Salaam

    Life za mbele azifanani Na bongo watoto wanadumaa Sana mfano mzuri angalia watoto wa diamond umri Na mwonekano wao afu fananisha Na watoto wengine wenye life ngumu uone body morphology yao...... Ni matunzo sio kufanana umri Na mtoto...
  12. anangisye2

    Baada ya kugundua ana mwanaume mwingine, nimemny'ang'anya vitu vyote nilivyomnunulia

    Kwaiyo mkeo unaenda kukwambia vitu hivyo umetoa wapi?
  13. anangisye2

    Ushauri: Mke wangu kaniambia mtoto wa kwanza sio wangu na baba yake anamuhitaji

    Hata ivyo ujui kuwa unaishi Na mke wa mtu siku tatu, maana yangu Ni kuwa mruhusu aende Kwa mume Wake.....
  14. anangisye2

    Erick Shigongo ni bora ungekaa kimya tu

    Usimwonee shigongo mkuu hata Mange kinambi anaeinfluence maandano ya 4/26 alikuwa anampigia debe Magu.... Kifupi mambo yamebadirika hata Mimi Mwishoni mwa2015- Mwanzoni Mwaka 2016 ulikuwa uniambii kitu kuhusu Mr President ..... Sasa Naipenda Tanzania tuu.
Back
Top Bottom