mdau mpya
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 471
- 636
Asalam wakuu.
Nimatumaini yangu mu wa zima wa afya.
Nilikuwa nikitafakari hapa mchana mzima wa leo katika kusherehekea Muungano na gharama za kuishi hasa has kwenye jiji hili namba 1 la wachakarikaji.
Anyway ni binafsi naishi kwenye nyumba ya kupanga nalipa 300k kwa mwezi.. mpaka sasa nimeshaishi miaka 2.5 takribani miezi 30 so kwa ufupi nimelipa pango la 9m (300,000*30).
Ukiiangalia hii hela inaaweza nunua kiwanja na ikajenga msingi na baadhi ya matofali.
NB; Inategemea na eneo mf. Mbezi msakuzi (nimeenda leo kucheck kiwanja) kiwanja cha 20*20 kinauzwa 3.5 to 4.5 m. msingi unaweza kula 4m (nyumba standard).
Hii ina mana kuwa nikikaa miezi 30 mingine ntakuwa nimemjengea jamaa nyumba nzuri.
Sasa nimeamua naenda benki nakopa hela hata let say kwa miaka 6 najenga nyumba nahamia then na assume as if namlipa mwenye nyumba. after 6 years nakuwa namiliki geto langu kuliko hii system ya kusubiri hela za mboga zikupitie.
Wakuu wenye mlengo huu wa kushuto tupeane mawazo katika hili au namna nzuri ya kuondokana na hawa jamaa wanajiita landrords.
Na wenzetu mlio katka banking industry mnaweza shauri hapo kwa 300k naweza pata mkopo kiasi gani
Nawasilisha.