Tathimini ya utawala wa Magufuli

Tathimini ya utawala wa Magufuli

Serikali ya hovyo sana hii kutokea. Rais anapenda sifa kuliko kitu chochote, uzalendo ni kwa wote wanaomsifia
 
Hapa ndipo mhutu alipoifikisha nchi na inazidi kjporomoka vijana wamemaliza vyuo miaka minne sasa wapo mtaani tu...
 
Ngungenge, kwa sasa tunao wananchi wa aina mbili tu...wanafiki na wasio wanafiki.
  • Wanafiki, kama mbuni, wameficha vichwa vyao mchangani wakiamini matatizo tuliyo nayo yatapita bila kuwagusa na hivyo kubaki salama.
  • Wasio wanafiki wako tayari kuyakabili hayo matatizo kwa lengo la kuyashinda wakijua wasipofanya hivyo hawatabaki salama.
Uzalendo si kuishi kwa uwoga, uzalendo ni kuukabili uwoga na kuushinda. Ukiishi kwa woga unakuwa mtumwa wake lakini ukipambana na kuushinda woga utaishi maisha huru.
 
images
 
Hahaha hata kwenye uchaguzi ujao wakiweka hili jiwe na jiwe lingine itabidi nichague jiwe lingine si hili la sasa
 
tathimini nilioifanya miezi mi Tatu sasa inaonesha utawala wa Magufuli ni utawala dhaifu na unaoweza kuanguka wakati wowote

Nimepita mikoa kadhaa mwanza, geita, Dodoma, Morogoro, pwani, Tabora, Iringa na mtwara nimebaini yafuatayo

1. Watu wanachuki na uonevu na manyanyasho yanayofanywa na serikali
2. Watu wamechoka na kukerwa na kutumbuana (nahisi ndo mana Kiki za hivi zimepungua)
3. Watu wamechoka Sifa na matamshi yasiyo na tija
4. Watu wanahasira na Mkuu na mwanae bashite
5. Watu wanaomba Mungu chochote kitokee ili wakianzishe

Nikajiuliza kwanini wanataka wakinukishe wakasema
1. TRA
2. Ajira
3. Watoto wao kukosa mikopo
4. Ugumu wa maisha
5. Ubaguzo na Hali ya kutaka kulipa kisasi

Conclusion and recommendation
Mzee badilisha mbinu ya utawala fanya kama ulivyoanza miezi 6 ya kwanza
Usiongee sana ama kujibizana sana na kila comment zingine ignore
Acha kuongea sana fanya sana
Usiwe mkali unapokutana na negative opinion
Mpigie kikwete simu at least kwa wiki Mara 3 akupe ujanja

Kumbuka watu wanatafuta sababu ya kufa utawauwa wangapi mfano ndugu za waliookotwa kwenye kiroba wanataka kulipa kisasi
Ndugu wa waliookotwa koko beach nao roho ziko juujuu
Ukoo wa akina azory wana hasira Hawa Sijui nisemeje yaani nchi inawaka moto kwa ndani

Mzee dawa ya Hawa watu wape fedha achia fedha wasahau ugumu wa maisha lasivo chanzo chochote kile kikitokea usishangae nchi ikawaka moto

Katika yote uliyoorodhesha ni za hisia zako kwa kuwa hazina takwimu pamoja na kudai umefanya tathmini katika mikoa ya mwanza, geita, Dodoma, Morogoro, pwani, Tabora, Iringa na mtwara. Utafiti wowote uandamana na ushahidi wa kitakwimu, baada ya kueleza jinsi zilivyokusanywa na kuchambuliwa, kabla yahitimisho la jumla (generalisation.)

Kwa ushauri tu, bado mwaka kesho tu (2019) tuingie uchaguzi mpya. Kwa tathmini yako hiyo una uhakika Rais Maguguli ataanguka vibaya.

Lakini najiuliza kwa upinzani upi?
1) Upinzani wenye viongozi wabwia unga ndipo wapate stima ya kuongea! Matokeo yake ni matusi mwanzo mwisho!
2) Upinzani usio na usimamizi wa fedha na mali za vyama vyao?
3) Upinzani wenye viongozi wasio heshimu viongozi wenzao, wakiingia madarakani raia wa kawaida hakika watatemewa mate!
4) Upinzani usioheshimu Katiba zao, itakuwaje kwa Katiba ya nchi wakingia Ikulu?

Yako mengi na mifano ya kueleza ubovu na uchafu wa viongozi wa upinzani.
 
Kwa hiyo unakubali magufuli hafai sio riziki ila tatizo lako hujaona mbadala wake, lakini siyo lazima wawe cdm, jaribu cuf lipumba
 
Back
Top Bottom