Msitumie nguvu zenu bure kumjibu huyu jamaa ni muongo anawapima akili tu. Angekuwa kweli ana tatizo hilo angekuwa serious hata kwa maelezo yake tungemjua kwamba huyu ni kweli anahitaji ushauri, badala yake katumia maneno ya mzaha kweli kujieleza...huyu mkongwe hapa JF kabadilisha ID karudi upya.
Ngaramtoni
Kimandolu
Ngulelo
Unga lelooo
Tengeru
Usa river
Kwa fundi
Kwa pole
Philips
Ilboru
Mount meru
Sanawari
Kwa mollel
Florida
Kwa mrefu
Kambi ya chupa
Shangarai
Duluti
Atomic
..............alots of.
Stupid!!! Sio wanaume wote!!!! Wenye tabia hizo ni wanaume wambea wenye tabia za kishoga.Na huyo mwanaume uliyemwambia ndio kaenda kumwambia huyo mschana. Mwanaume halisi huwa anaweka siri na anakuwa mwaminifu kwa mschana aliyemtoa bikra
Naomba kuuliza mradi wa kupeleka umeme kisongo wilaya ya monduli utaanza lini? Maana sasa pamekuwa mji na watu wengi wamejenga na kuhamia hapo nikiwa mmoja wapo.
Hivyo naombeni kujua hilo. Asanteni na ninawatakia kazi njema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.