Wanawake mnawachukuliaje wanaume waliowatoa bikira?

Ofcoz Nilivujisha Maana Kiukweli Ni Ngumu sisi wanaume Kumficha Mwanaume Mwenzako
Stupid!!! Sio wanaume wote!!!! Wenye tabia hizo ni wanaume wambea wenye tabia za kishoga.Na huyo mwanaume uliyemwambia ndio kaenda kumwambia huyo mschana. Mwanaume halisi huwa anaweka siri na anakuwa mwaminifu kwa mschana aliyemtoa bikra
 
Hata na Hivyo Nimekuwa Mwaminifu....Kiasi Kwamba wanawake weningine wameshindwa kuwa na mimi!
 
sidhani kama ina apply kwa wanawake wote Maana Mimi Kuna Mmoja Nilimtoa Bikra...ile ishu ya yeye kutolewa Bikra na Mimi ikavuja, basi yule Binti ananichukia Mpaka Leo!
Daaah.. mkuu we hukutoa bikra, bali ulitoa "dikra"....
Dikra ni ile hali ya kibubu cha ngozi kubana kutokana na mwanamke kutokufanya mapenzi kwa mda mrefu, na mtu ukiingia kwa mawenge unaweza ukadhani ni bikra.

Ingekuwa umemtoa bikra, hao woote waliojua kama we ndo umemtoa uzi, hasingewajali, sana sana angezid kukuletea uendelee kufyeka njia yako.
 
Inapendeza sana ikiwa aliyekutoa bikra ndio mume wako
Ni wachache. Lakini ukweli bikra haina nafasi ktk mapenzi ya dhati. Mimi hata awe na watoto sita nikimpenda nikaamua kuishi naye kwangu nahesabu ni bikra.
Wanawake single mother waliobanjuliwa huko ukimfuma wengi ni wife material mno.
Kwanza asiye single mother kwangu asisogee kabisa sina la kujifunza kwake.
Ila misingle mother mingine ni balaa.
Usingle mother na kutokuwa na bikira si tatizo.
Wanyama wa porini single mother lakini wana amani mno.
840462eae62a3a9d6a3668d4878db337.jpg
 
Makubwa
swali limenigeukia mimi

Wakati naanza nae mahusiano sikufikiria kama tungekuja kuachana, na tulivyoachana sikuamini kama tumeachana, na ilinichukua muda mrefu kumsahau, ila with time nilimsahau na hayupo tena kichwani mwangu
Pole sana madame ...ila mapenz yalikuwa makubwa sana kwake?
 
Sidhani kama hili la bikra ni jambo kubwaaaa kama baadhi ya watu wanavyo lichukulia,Hii kitu ni sawa na vipindi vingine vya kawaido anavyo paswa kupitia mwanamke au msichana - mfano kuota chuchu,,mavuzi,navinginevyo,kwahiyo swala la bikra kutoka nilazima itoke iwe kwa kuingizwa kidole,kwa kuendesha baiskeli,kubakwa.Hii ni natural ya mwanamke. kizuri nikwamba kila mmoja anachukulia kwa uelewa wake
Itakuwa haujawahi kutoa bikra wewe
 
Daaah.. mkuu we hukutoa bikra, bali ulitoa "dikra"....
Dikra ni ile hali ya kibubu cha ngozi kubana kutokana na mwanamke kutokufanya mapenzi kwa mda mrefu, na mtu ukiingia kwa mawenge unaweza ukadhani ni bikra.

Ingekuwa umemtoa bikra, hao woote waliojua kama we ndo umemtoa uzi, hasingewajali, sana sana angezid kukuletea uendelee kufyeka njia yako.
Mkuu Nilishuhudia Ganda la Damu!
 
Sidhani kama hili la bikra ni jambo kubwaaaa kama baadhi ya watu wanavyo lichukulia,Hii kitu ni sawa na vipindi vingine vya kawaido anavyo paswa kupitia mwanamke au msichana - mfano kuota chuchu,,mavuzi,navinginevyo,kwahiyo swala la bikra kutoka nilazima itoke iwe kwa kuingizwa kidole,kwa kuendesha baiskeli,kubakwa.Hii ni natural ya mwanamke. kizuri nikwamba kila mmoja anachukulia kwa uelewa wake
Ni jambo kubwa mkuu tena baadae ukawa unamkojoza kisawasawa unakua umeacha alama isiyofutika.
 
Mkuu hapa kuna watu humu umewasononesha sana kwa hii comment, japo ndio hali halisi.

Uhalisia ndio huo mkuu ni ukweli ulio mchungu na hawapotezagi no.za simu yaani waweza mpotezea hata miaka miwili lakini mwisho wasiku ukashangaa unapokea call yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom