Recent content by anam

  1. A

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Sawa asante, tutegemee majibu baada ya muda gani mkuu?
  2. A

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Makumbusho kijitonyama hatuna maji karibia wiki sasa, kulikoni
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sijasaini nyaraka yoyote TLS toka nipigwe risasi

    Elimu, Elimu, Elimu, Elimu
  4. A

    JamiiForums Tanzania Usafi wa jumamosi Dar na uoneaji wa watu ukemewe

    Hata muuza genge tuu akifungua kabla ya saa 4 faini ni sh 50,0000/ huu uonevu hadi lini?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Samsung s7 edge

    Pole mkuu ndio majanga ya samsung hayo, tafuta hela nunua simu nyingine
  6. A

    JamiiForums Tanzania Raia wa Oman analizunguka bara lote la Africa kwa pikipiki ili kuvunja rekodi.

    Kuna sehemu yoyote imemzungumzia rais wa oman mkuu?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

    Asante mkuu, matumizi yake yakoje?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Meru: Vijana Wasiofanya kazi kuchapwa viboko 70 kila mmoja

    Ni sheria za wameru mkuu, zipo kabla ya awamu ya tano.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Maneno 10 mabaya ambayo hutakiwi kusema kwa mwenza wako

    Asante mkuu kwa somo zuri
  10. A

    JamiiForums Tanzania Dotto Bulendu: Haya ndio maisha ya Tundu Lissu ya Mikikimikiki Sekta ya Madini

    Mtetezi wa wanyonge hana haki kwa nchi ya Tanzania. Mwenyenzi Mungu akuponye Lissu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. A

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Mwenyenzi Mungu tunakuomba umponye mwanao Sent using Jamii Forums mobile app
  12. A

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

    Get well soon Tundu Lisu, Mungu wetu mwenye huruma na rehema akuponye. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. A

    JamiiForums Tanzania Maduka ya Mlimani City na tabia ya kulazimisha wateja kuacha mizigo kaunta

    Kukabidhi mifuko au mabegi yetu kaunta ni sawa kabisa kinachokera zaidi baada ya kununua bidhaa, ni kukagua risiti na kuangalia vilivyomo ndani ya mfuko kama vinaendana. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mjue Bikira wa Kisukuma, kijana mhangaikaji mjini hapa

    Sorry, kwa hiyo post, mambo yameingiliana. R.I.P Seth bikira wa kisukuma
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mjue Bikira wa Kisukuma, kijana mhangaikaji mjini hapa

    Ndefu ndio nzuri
Back
Top Bottom