Recent content by Anacletus

  1. A

    Askofu Gwajima vs Cardinal Pengo: Polisi waingilia kati

    Kardinal Pengo yuko sahihi kwa sababu kila mtu anayohaki ya kuamua analoliona linafaa, kupigia kura au kutopigia kura. Maamuzi ya maaskofu ni msimamo mmoja wapo laki uhuru wa kila mtu unabaki palepale hata kama mumeamua kutoipigia katiba iliyopendekezwa na mwingine akawa amekubaliana kwenye...
  2. A

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    mimi naona serikali tatu ni suruhisho pekee kwa sababu Zanzibar tayari walishavunja muungano kwahiyo itakuwa ni kujindaganya kuendelea na mfumo wa sasa labda wazanzibari warudi wakasahihishe hilo kwanza. Vingenevyo nitatizo kubwa.
  3. A

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Muungano unaofaa sasa Tanzania ni wa serikali tatu. Sababu kubwa Zanzibar kwa kutengeneza Katiba yao inayopingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya sasa hakuna njia muafaka zaidi ya serikali tatu la sivyo Zanzibar warudi wabadili maudhuii yaliyomo kwenye katiba yao. Hata kama Bunge la katiba...
  4. A

    Hotuba ya Rais Kikwete: Sauti ya wananchi ambao hawakuhoji muundo wa Muungano ziko wapi?

    Je! tupige kura ya wazi juu ya taarifa ya tume? au tusubiri bunge la katiba? hata mimi naunga mkono serikali tatu.
  5. A

    Picha mkutano wa Mh Mbowe-Mwanza

    kujaa watu haina maana kuungwa mkono yawezekana waliojaa wanataka kujua habari fulani ambayo imetawala kwa kipindi hichi.
  6. A

    Ni kweli kuna makabila yasiyotakiwa kutoa rais wa nchi?

    kama hili ni kweli basi Tanzania ubaguzi upo.
  7. A

    Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

    poleni wanachadema kwa haya yanayotokea lakini tatizo siyo chama ila ni wachache wanaotaka madaraka.
  8. A

    Msaada wa China: Haya ni baadhi tu ya masharti

    Sioni sababu ya kujenga kipya wakati cha zamani kinadoda. Halafu kama masharti ndiyo hayo tumekwisha!!!..,
  9. A

    Zitto amshukia JK, Sherehe za CCM Kigoma asitumie ndege za serikali

    Mkumbuke kwamba raisi yuko kazini masaa 24! Hivyo ni sahihi kutumia ndege ya serikali na mali za serikali kwa sababu akiwa Kigoma bado atakuwa ni Raisi na kunakazi ambazo pamoja na kutokuwepo ofisini kwake bado analazimika kuzifanya. kwa hilo sioni kama kuna sababu ya kulipigia kelele.
  10. A

    Prof. Shivji apinga sehemu ya hukumu ya kesi ya Lema

    Mimi sio mwanasheria lakini ninaona neno HAKI YA MPIGA KURA inahitaji tafsiri kwa sababu haki ya mpiga kura Arusha siyo sawa na haki ya mpiga kura Mwanza. Kila mmoja hapa anamaslahi yake. Kwahiyo kila mpiga kura ashughulike na maslahi ya eneo lake. Vinginevyo kuna walakini
  11. A

    Prof. Shivji apinga sehemu ya hukumu ya kesi ya Lema

    Mimi sio mwanasheria lakini ninaona neno HAKI YA MPIGA KURA inahitaji tafsiri kwa sababu haki ya mpiga kura Arusha siyo sawa na haki ya mpiga kura Mwanza. Kila mmoja hapa anamaslahi yake. Kwahiyo kila mpiga kura ashughulike na maslahi ya eneo lake. Vinginevyo kuna walakini
  12. A

    The power of the Bahima Empire

    ukishamjua nyoka alipo kinachobakia ni kumponda kichwa chake kwa kisigino hakuna haja ya kuwaogopa!
  13. A

    Rushwa ndani ya vyama vya siasa tuipige vita utatuchefua

    kwani lipi lisiloeleweka tulikuwa na chama kimoja tu ambacho ni CCM ndicho kimekuwa kwenye usukani kwa muda mrefu.
  14. A

    Asili ya jina Tanzania na mwasisi wake: Mohammed Iqbal Dar

    inafurahisha sana kuifahamu historia hiyo asanteni sana
  15. A

    Rushwa ndani ya vyama vya siasa tuipige vita utatuchefua

    Matatizo tuliyonayo makubwa ni kupata viongozi kwa kupitia njia za panya. Watanzania tunajukumu kubwa sana kupigana na rushwa ambayo inatunyima fursa ya kupata viongozi wanaofaa. Hasara tunazozipata ni: 1. Kupata viongozi wasio faa. 2.Viongozi hao wanaopatikana kwa rushwa wanakuwa wametumia hela...
Back
Top Bottom