Recent content by Amyna Mdimishq

  1. A

    Upi ujinga kati ya haya

    Ujinga Ni Kumwambia Mtu 'I Love You' Halafu Unasubiri Jibu akati Hujauliza Swali.!
  2. A

    Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

    Exactly,,na tundu huvimba kwa7bu nnapokutana na kitu kama vumb huwa nareact fasta then pua inawasha sana so huwa naifikicha sana mpk yavimba kidogo sometimes na michubuko inatokea,,! Ila nashkuru sana kwa msaada wako ntafanyia kaz naamin mungu atansaidia, Ubarikiwe Sana
  3. A

    Kama seminari kigezo ni kanuni na sheria kali, mbona shule za kiislamu sufuri.

    Bcoz Of MoU, Just go and read it careful you wll get a concrete answer...!
  4. A

    Naomba kufahamishwa kuhusu Agriculture Economics And Agri Business

    Shukran, Ila Hayo Mambo Ya Agriculture Yenyewe Utaajiriwa Kune Position Gan?
  5. A

    Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

    Asanten Kwa Ushauri Wakuu
  6. A

    Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

    Naombeni mnisaidie wanajamvi, Nina matatizo ya mafua yasiopona, nimeshaenda hospitali nyingi na nimekunywa dawa nyingi za mafua lakini haijasaidia, nkaambiwa kuwa nina allergy na vumbi pamoja na harufu kali kama za spray na perfume. Nikanywa dawa za allergy kama centrizine n.k. Bila...
  7. A

    Agriculture Economics And Agri Business

    Habari Zenu Wapendwa... Naomben Mnisaidie Kwa Anaefaham Hyo Kozi Hapo Juu Anifahamishe About Merits,demerits And Future Outlook (ntafanya Kaz Gan Nkimaliza Na Upatkanaji Wa Ajira) Yke Ikoje Pia Mxul Wake Uko Vp Hpo SUA Na Mambo Mengne Mnayofaham Kuhusu Hiyo Facult Kawa Vle Ushauri Kama Ni Nzur...
  8. A

    Naomba kufahamishwa kuhusu Agriculture Economics And Agri Business

    Habari Zenu Wapendwa... Naomben Mnisaidie Kwa Anaefaham Hyo Coz Hapo Juu Anifahamishe About Merits,demerits And Future Outlook (ntafanya Kaz Gan Nkimaliza Na Upatkanaji Wa Ajira) Yke Ikoje Pia Mxul Wake Uko Vp Hpo SUA Na Mambo Mengne Mnayofaham Kuhusu Hiyo Facult Kawa Vle Ushauri Kama Ni Nzur...
  9. A

    Jinsi ya kufanya update bodi ya mikopo elimu ya juu kwa OLAS

    Kama Unahitaj Kuendelea Kupata Mkopo Unatakiwa Ku-update Thru OLAS Kwa Kulipia Elf Kumi Kwa Mpesa Then Utajaza 4m 1 tu. kwa maelezo zaid ptia heslb.org
  10. A

    Hi.!

    Nashkuru, Mekaribia.!
  11. A

    Hi.!

    Hi Jf Memberz.! Me Ni Mgeni Humu Ndani..!
Back
Top Bottom