Naomba kufahamishwa kuhusu Agriculture Economics And Agri Business

May 18, 2014
13
0
Habari Zenu Wapendwa...

Naomben Mnisaidie Kwa Anaefaham Hyo Coz Hapo Juu Anifahamishe About Merits,demerits And Future Outlook (ntafanya Kaz Gan Nkimaliza Na Upatkanaji Wa Ajira) Yke Ikoje Pia Mxul Wake Uko Vp Hpo SUA Na Mambo Mengne Mnayofaham Kuhusu Hiyo Facult Kawa Vle Ushauri Kama Ni Nzur Au Vp,,!
Naomba Msaada Wenu Jaman
 
NasDaz

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,274
2,000
I did the same course--tena cku hizi ni mzuri zaidi kuliko wakati sisi tunaisoma coz' mwaka tuliomaliza sisi ndio mwaka ambao walibadili mtaala wake. kuhusu ajira zake, more opportunities ni kwenye mabenki, serikalini(wanaajiriwa as Economists) pamoja na kwenye NGOs-hao ndio waajiri wakubwa wa hiyo kozi. uzuri mwingine ni kwamba lecturers wake wengi kama co wote ni qualified(PhD with long experince) wakati tunasoma cc, there're only TWO lecturers with MBA nd bcause the course was still new
 
Shukran, Ila Hayo Mambo Ya Agriculture Yenyewe Utaajiriwa Kune Position Gan?
 
KIDUDU

JF-Expert Member
Sep 17, 2012
2,562
2,000
I did the same course--tena cku hizi ni mzuri zaidi kuliko wakati sisi tunaisoma coz' mwaka tuliomaliza sisi ndio mwaka ambao walibadili mtaala wake. kuhusu ajira zake, more opportunities ni kwenye mabenki, serikalini(wanaajiriwa as Economists) pamoja na kwenye NGOs-hao ndio waajiri wakubwa wa hiyo kozi. uzuri mwingine ni kwamba lecturers wake wengi kama co wote ni qualified(PhD with long experince) wakati tunasoma cc, there're only TWO lecturers with MBA nd bcause the course was still new

Saiv ma prof ni wengi zaid, nimemaliza apo majuzikutwa.
 
KIDUDU

JF-Expert Member
Sep 17, 2012
2,562
2,000
Unapotaka kwenda chuo kikuu jiandae kusoma, SUA ujiandae kusoma zaid ya advance na sikutanii pale nadhan walimu wanafanyiwa sherehe mwanafunz akidisco. Kakutane na prof Hella, Msuya,Mdoe,Temu, Isinika, dk Makindara, Gabagambi, Lazaro, Mtabazi, Anna, E.Msuya na wengine wengi. KAMA UNADHAN UNAENDA KULA BATA BAS USIENDE SUA KABISA,
MWISHO;
SUA-SOKOINE UNIVERSITY OF AGRIBUSINESS
SUA-SOMA UPATE AJIRA. kila la kheri.
 
Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
13,910
2,000
Hakuna course acheni kujidanganya nenda SUA,UDSM,IFM kote huko lazima ukaze msuli.
 
NAAMINI

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
668
250
Unapotaka kwenda chuo kikuu jiandae kusoma, SUA ujiandae kusoma zaid ya advance na sikutanii pale nadhan walimu wanafanyiwa sherehe mwanafunz akidisco. Kakutane na prof Hella, Msuya,Mdoe,Temu, Isinika, dk Makindara, Gabagambi, Lazaro, Mtabazi, Anna, E.Msuya na wengine wengi. KAMA UNADHAN UNAENDA KULA BATA BAS USIENDE SUA KABISA,
MWISHO;
SUA-SOKOINE UNIVERSITY OF AGRIBUSINESS
SUA-SOMA UPATE AJIRA. kila la kheri.

dahh mkuu huyo prf.isinika ni noma na ile production economics,prf.hella na farm management....
 
NasDaz

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,274
2,000
Saiv ma prof ni wengi zaid, nimemaliza apo majuzikutwa.

I can agree with u coz wakati ule ni Mishiri na Mkandara pekee ndio walikuwa na Mastérs na hawa wote walienda kuchukua PhD few years bàada ya sisi kuwa tumemaliza!
 
Lugano5

JF-Expert Member
Jul 15, 2010
4,358
1,250

Danp36

JF-Expert Member
Jul 31, 2010
1,841
1,500
Unapotaka kwenda chuo kikuu jiandae kusoma, SUA ujiandae kusoma zaid ya advance na sikutanii pale nadhan walimu wanafanyiwa sherehe mwanafunz akidisco. Kakutane na prof Hella, Msuya,Mdoe,Temu, Isinika, dk Makindara, Gabagambi, Lazaro, Mtabazi, Anna, E.Msuya na wengine wengi. KAMA UNADHAN UNAENDA KULA BATA BAS USIENDE SUA KABISA,
MWISHO;
SUA-SOKOINE UNIVERSITY OF AGRIBUSINESS
SUA-SOMA UPATE AJIRA. kila la kheri.

wewe ni marketing officer wa sua nini..narudi kwa kijana...
oky kijana hiyo course ni ya uchumi ulioshindikana kabisa.ni course nzuri sana.niliipendasana hiyo..ila ufaulu vizuri tu advance maana kuna ushindani kuingia hapo..wanafunzi wengi hge ..egm na wengi wa geography wanaipenda sana...kuhusu ajira sikuhizi hadi engineers ajira zimeanza kua za kusuasua.kwahiyo
jipange kuwa na mkakati wa kujiajiri kilimo kwanza kianze na weewe.kama sio hivyo uhajiriwe kwa mda tu......''DONT STUDY TO BE EMPLOYED...STUDY TO LEARN''hayo ndio niliyonayo
tatizo wanaosomea fani zinazoendana na agriculture wanaajiriwa benki..na waliosoma INFORMATION TECHNOLOGY NDIO WANAKUWA wakulima wa kisasa why?
 
NAAMINI

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
668
250
I can agree with u coz wakati ule ni Mishiri na Mkandara pekee ndio walikuwa na Mastérs na hawa wote walienda kuchukua PhD few years bàada ya sisi kuwa tumemaliza!

hao jamaa kwa sasa ni phd holders mkuu....dr.mishiri na dr.makindara
 
NAAMINI

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
668
250
Habari Zenu Wapendwa...

Naomben Mnisaidie Kwa Anaefaham Hyo Coz Hapo Juu Anifahamishe About Merits,demerits And Future Outlook (ntafanya Kaz Gan Nkimaliza Na Upatkanaji Wa Ajira) Yke Ikoje Pia Mxul Wake Uko Vp Hpo SUA Na Mambo Mengne Mnayofaham Kuhusu Hiyo Facult Kawa Vle Ushauri Kama Ni Nzur Au Vp,,!
Naomba Msaada Wenu Jaman

kamwe hutajuta kusoma agrieconomics and agribusines...inaajira nyingi sana na ni very comprehensive field...banks,NGOs nyingi mno,agriculture research institution,wizara ya kilimo,mashirika ya umoja wa mataifa ndo sana mkuu...karibu sana kwenye coz hii ukifika pale sua mtaitwa aea....cha msingi uwe na matokeo mazuri sana ya form six mana kwa miaka hii ni course yenye ushindani mno na wanaitaji division one na two tu .....
 
uhurubado

JF-Expert Member
Mar 25, 2007
568
500
karibu! ni kozi nzuri na inafundishwa vizuri sana! ila hapa ni juhudi na maarifa. kama u mzembe jaribu mahala pengine!
 
domiii

Member
May 29, 2014
72
95
bonge la course ... niliitamani sana kipindi hcho tokeo likawa tatizo,, wanachukua 1 & 2
 
Entreprenegro

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
601
195
Habari Zenu Wapendwa...

Naomben Mnisaidie Kwa Anaefaham Hyo Coz Hapo Juu Anifahamishe About Merits,demerits And Future Outlook (ntafanya Kaz Gan Nkimaliza Na Upatkanaji Wa Ajira) Yke Ikoje Pia Mxul Wake Uko Vp Hpo SUA Na Mambo Mengne Mnayofaham Kuhusu Hiyo Facult Kawa Vle Ushauri Kama Ni Nzur Au Vp,,!
Naomba Msaada Wenu Jaman

Umeandika urojo urojo tu. Jifunze kuandika vizuri ili watu wengine wachangie. Kwa kuandika hivo Sua hapakufai utadisco watu kama wewe mnabidi msome rural development au tourism.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom