Recent content by Amwesiga

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mzee Mtei na Kingunge kuleta ukombozi kupitia Lowassa, CHADEMA na UKAWA

    Jamani hakuna kitu km hicho. Kama lowasa anaenda ukawa sibishi kwa kuwa ukawa si chama. Lkn kwa upande wetu chadema Dr. Slaa anatosha na tutashinda kwa kishindo.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Looking for my soulmate and future husband

    Jamani inawezekana mwenzetu yupo serious tunakalia mijadala ambayo haina muafaka.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mbowe asema hawamtaki Zitto Kabwe kwenye UKAWA

    Kwa Act-wazalendo kimesajiliwa? Ukiangalia hicho chama kiko kwa ajili ya kupambana na ukawa tu na baada ya uchaguzi kinakufa. Chama kilichosajiliwa ni act-Tanzania na ambayo ndio yenye logo, rangi na hata cheti cha usajili. Kwa hiyo mi sioni km ni msingi sana kujadili wapiga debe , wasaliti na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Namuhurumia sana msichana huyu but nashindwa kumsaidia

    Kuwa makini NA '' ALL WE TRAVEL''. Mimi ni mwanaume kwa situation km hiyo sihitaji ushauri ningemsaidia moja kwa moja. Ila kwa kuwa umetaka ushauri kwanza endelea kumpa mahitaji madogo wakati unafikiria kufungilia biashara itayokidhi mahitaji yake na wanae kwa siku za mbeleni.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Watu wapigwa na kuvuliwa nguo nyumbani kwa Wema Sepetu

    Huyo anapasuliwa kichwa na boss lady
  6. A

    JamiiForums Tanzania Zitto: Tumependekeza kumvua ujaji Mh. Werema

    Wamependekeza haijakuwa rasmi. Km ikikubalika inamaana watafuta taratibu husika.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kikao cha dharula: Kitimoto kwa wabunge wa CCM wanaopigia kelele Escrow

    Wakati umefika ni vigumu kuukimbia. Niliwahi kusema siku inachofanya ccm ni kutega bomu ipo siku ya kulipuka na kutakuwa hakuna wa kuokoa. It's about time now. Wamuombe mungu awape busara hata hizo pesa zilizobaki wasiendelee kuzimaliza na vikao visivyo na tija. Muda umewadia wasubiria kuvuna...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Serikali tatu ni ya kishabiki na kinafiki

    Hebu jionee na useme sehemu hiyo ya ushabiki au ukaisome rasimu vizuri usije ukajikuta wewe ndio unaandika kwa ushabiki.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu afunguka: Muislamu 'khamsa-swalawat'

    Hivi kwa nn mtu anapohoji kitu cha msingi kuhusu serikali mnakuwa na lugha za ajabu? Huyu toka kipindi cha Mkapa mlitaka kumfukuza mkashindwa leo ww unahoji uraia wake km nani? Wangapi wanaishi inchini na wananyanyasa watanzania na wanafanya kazi haramu tupu hamuulizi, au kwa kuwa wananufaisha...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Last seen ya mpenzi wako WhatsApp!

    Hapa tatizo sio last seen. Hapo tatizo ni mpenzi wako, nawe karibu kutomtafuta mpaka akutafute. Akikutumia sms jibu baada ya siku moja akikwambia uwende mwambie umebwana na mishe zako mpangie siku ya kwenda ww. Mwenyewe atasema poo.
  11. A

    JamiiForums Tanzania ACT-Tanzania yatoa Msimamo wake Juu ya Muundo wa serikali

    Me mbona viongozi ACT siwajui kwa nn hawajiweki wazi? Nambona wanaongea vitu vilivyoongelewa tayari kwa nn wasije na hoja mpya km chama chao kilivyo kipya?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba aokoa £11550000 SADC, Zimbabwe wadhani mtoto wa Nyerere

    Mbona maswali ya msingi km hayo yakiulizwa bungeni anakuwa mtetezi wa mafisadi? Huyo uwazi anaoutaka huko na huku pia tunautaka.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kura ya kutokuwa na imani na Mbunge wangu

    Kwa mnyika siku hizi muuza maji?
  14. A

    JamiiForums Tanzania Lema: "Serikali inaonewa"

    Binafsi sioni km Mh. Lema kakosea ni ukweli huo. Mtoto anashindwa kubeba lita moja na nusu ya maji unampa abebe lita tano huko ni kumuonea kabisa.
  15. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wapuuzi tu! CCM wangetaka S3, wao lazima wangetaka S2, maana wao ni wapingaji wa kila KITU!

    Wazitake sasa waone km watapinga ndio tijue kweli wapuuzi. Usiwatukane kabla hujajua kwa nn ccm wanakwepa.
Back
Top Bottom