Looking for my soulmate and future husband

Hebu zeeka kwa amani, waache vijana wale maisha.
Mafyucha jazbend warefu mahandsam wamo humu jf, lol.
Hajapita Kaunga hapa nae na mausia yake ya mwaka 47 sijui pray na nini.

Sawa mwali lkn kuna muda unaona kabisa huyu mtafutaj kuna jambo alilokosea
mweeh............ebu nisiseme mie
 
Kwa hizi picha zetu za 360 sijui na applications za android?
Ndio mambo ya kukimbiana appointment kwa mlango wa chooni lol

Hizo kamera nazilaani sana,na alaaniwe aliezitengeneza,yaani mtu anajifotoshopu akikutumia picha unasema hewala huyu mtoto anaoga maziwa kumbe kajikamera 360. Ukikutana nae live unatamani kulia hadharani kama sio kukimbia.
 
What if am standard 7lakini vigezo vingine vyote ninavyo na kazi ninayo?
 
miaka 33 una vigezo vyote hivyo? loh!!!
mi nilitegemea utasema mwanaume anayejitambua, mwenye upendo na awe na kipato kinachoeleweka!!

sasa we umeanza mambo ya urefu, unene sijui sura gani!!
hizo ni dreams za 23 mdada
 
Hebu zeeka kwa amani, waache vijana wale maisha.
Mafyucha jazbend warefu mahandsam wamo humu jf, lol.
Hajapita Kaunga hapa nae na mausia yake ya mwaka 47 sijui pray na nini.

Sio ya 47 bwana ni kuanzia mwaka wa Bwana (AD) yanayosema mchumba mwema hupatikana kwa Bwana (sio shopping mall kumbuka) na prayer is a communication point na Bwana.

Si unaona mwenzio nilivyooteshwa kuwa The Boss is the one sikuweka bandiko nilimfuata PM directly na hata pamoja na flirts zake na zako upendo ule wa kwanza bado unatawala. Imagine ningekuwa nimemtoa sio kwa Bwana huo uvumilivu na upendo usioshake ningeutoa wapi?
 
Last edited by a moderator:

shikamoo mamdogo!!
 
Last edited by a moderator:
Jamani inawezekana mwenzetu yupo serious tunakalia mijadala ambayo haina muafaka.

Hiyo mijadala mkuu ni mazungumzo baada ya habari kuufanya uzi uwe active, wenyewe wahusika wanakwenda PM alafu sie hapa jukwaani ni kama tunasubiri feedback hivyo tunazungumza mawili matatu huku wenyewe waungwana wapo ndan wanaulizana urefu na viwango vya elimu
 
Hahahaaa, yaani nimeishia kucheka hapo kwenye flirts! Do i flirt with him? Aisee im a bad flirt, if im to do it hata paw angesha nitaliki lol. Relax, The Boss mzee mwenzio bwana mi na paw miaka laki nane hata platozoom anangojea hadi kesho niachike anirithi.

Halafu wewe ni binti aisee, mie mbona paw nilishikishwa na wazazi? Yaani mie hadi nguo ya harusi waliniletea tu!Umri umesogea haya mambo ya siku hizi ya vidate vya fb na insta huwa najiuliza tungedate enzi hizo labda na sie tungekuwa senema? Manake tusihukumu kabla, we were born before computers. Kuna shosti kaolewa chuo cha pili, baba wa watu na mvi zake anarushwa huko insta namuombea poo kimoyomoyo. Sina hakika anarusha rusha kutishia ama vipi.
Sio ya 47 bwana ni kuanzia mwaka wa Bwana (AD) yanayosema mchumba mwema hupatikana kwa Bwana (sio shopping mall kumbuka) na prayer is a communication point na Bwana.

Si unaona mwenzio nilivyooteshwa kuwa The Boss is the one sikuweka bandiko nilimfuata PM directly na hata pamoja na flirts zake na zako upendo ule wa kwanza bado unatawala. Imagine ningekuwa nimemtoa sio kwa Bwana huo uvumilivu na upendo usioshake ningeutoa wapi?
 
Last edited by a moderator:
hahaha sasa tatizo ni kwamba ukianza kukielekeza kizazi hichi kitaelewa kweli? si wataishia kuona unawaonea wivu manake 'wanakula maisha'? Ni kujiangalizia tu na kusali kimoyomoyo Mungu asiwape mapigo makubwa sana
Sawa mwali lkn kuna muda unaona kabisa huyu mtafutaj kuna jambo alilokosea
mweeh............ebu nisiseme mie
 
Hahahaaa, yaani nimeishia kucheka hapo kwenye flirts! Do i flirt with him? Aisee im a bad flirt, if im to do it hata paw angesha nitaliki lol. Relax, The Boss mzee mwenzio bwana mi na paw miaka laki nane hata platozoom anangojea hadi kesho niachike anirithi.

Halafu wewe ni binti aisee, mie mbona paw nilishikishwa na wazazi? Yaani mie hadi nguo ya harusi waliniletea tu!Umri umesogea haya mambo ya siku hizi ya vidate vya fb na insta huwa najiuliza tungedate enzi hizo labda na sie tungekuwa senema? Manake tusihukumu kabla, we were born before computers. Kuna shosti kaolewa chuo cha pili, baba wa watu na mvi zake anarushwa huko insta namuombea poo kimoyomoyo. Sina hakika anarusha rusha kutishia ama vipi.

Atafutaye hachoki.................
 
Ebwanaeeeeee!!!!! Ulimwona wapi mtoto akamwomba babae mkate akapewa jiwe, sijajua weye ni muumini gani. Ila kikubwa tazama play list yako uliyokuwa nayo kuanzia miaka 18 mpaka 33 na peak mmoja wapo na ninatumai utampata ambae mlishabihana kitabia na kifikra
 
dada yangu kupata mume /mke bora ni zaidi ya bahati katika dunia ya leo
ushauri
1.mtangulize mungu unae muamini
2.tafuta mume mwnye hofu ya mungu
3.omba toa zaka kwa ajiri ya hitaji ya moyo wako ni siri yako na mungu wako
 
Back
Top Bottom