sawa mkuu, unapokuja kwenye suala zima la ukadiriaji majengo kuna vitu vingi vya kuzingatia, mfano ukubwa wa nyumba kwa nje, kuta za ndani ( inategemea na jinsi ramani ilivyo) pamoja na uwazi( mfano saizi za milango na madirisha) kwa hiyo bila kuwa na maelezo kamili waweza pata makadirio...
yani mpaka muda huu watu waliochaguliwa(wanaofahamika) ni wa computer na electrical ila course nyingine zinazosalia wameambiwa hawajachaguliwa( so waanze kuomba upya) na wengine hata matokeo yao hayapo
habari zenu wakuu!!!
nashindwa kuelewa hiki chuo kina sifa zote kinachopewa?
mpaka sasa wahitimu wake(diploma) wa kozi za civil, mining na laboratory technology hawaoni matokeo yao kwenye profile zao, hapo umeweka pembeni baadhi ya kozi ambazo hakuna mtu aliyechaguliwa mpaka muda huu...
Duu mi ndo nimerudi mkoani full mapokezi asubuhi kabla ya chai tunapata kahawa kidogo jioni tunaenda kupata uji kidogo, najiuliza wakinitembelea nitarudishaje hizi fadhila maana mie ni MTU wa ratiba Kali nikiwa jijini
Kwanza nawasalimu wote na ninawatakia weekend njema.
Back to the topic.
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali kuhusu taaluma hizi mbili zenye mvuto sana, hasa kwa vipanga wengi ambao huziota kila siku.
Lakini sasa sijapata uhakika ipi inaheshimika sana, inalipa zaidi na ipi inapendwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.