Recent content by Amrish Puri

  1. Amrish Puri

    JamiiForums Tanzania Karibu kuosha gari dogo kwa 7000/=

    Siyo kweli kote ninakooshea mimi iwe ubungo,mabibo,sinza,kawe,keko n.k ni chini ya hiyo hela otherwise kama unapandisha juu ya winchi
  2. Amrish Puri

    JamiiForums Tanzania Karibu kuosha gari dogo kwa 7000/=

    Wakati mitaa mingine ndani na nje wanaoshea 4000/=
  3. Amrish Puri

    JamiiForums Tanzania Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

    Kumbe watu mnapenda mwendokasi!!![emoji28]ajali zikitokea lawama zote anapewa suka,anyway speed thrills but kills.Safari njema mkuu karibu Tanzania ila kuna joto kali sana
  4. Amrish Puri

    JamiiForums Tanzania Asante Makonda kwa kutujazia 'chekechea' Mlimani city! Kwa kweli palipendeza!

    Patron wa establishments afu ukajuta kwenda, duh!!!
  5. Amrish Puri

    JamiiForums Tanzania Asante Makonda kwa kutujazia 'chekechea' Mlimani city! Kwa kweli palipendeza!

    Ulienda kama nani, first year au continuing student??? Maana kiingilio ilikuwa ID
  6. Amrish Puri

    JamiiForums Tanzania Hosteli za Magufuli chuoni UDSM zimeanza kubomoka. Nini chanzo? Watoto wetu watapona?

    Sina uhakika sana na hili, inawezekana picha za jengo zimechezewa ili kuleta taharuki!! Time will tell
  7. Amrish Puri

    JamiiForums Tanzania Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

    Mkuu hicho ni kisukuma ama?
  8. Amrish Puri

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa mnaoendesha magari kupitia kitonga iringa

    Dah watu mmefukunyua uzi wa 2013[emoji28][emoji28]
  9. Amrish Puri

    JamiiForums Tanzania Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

    Nimecheka kwenye kibumbu[emoji28][emoji28]
  10. Amrish Puri

    JamiiForums Tanzania Dk. Shika asipokuwa makini katika hili atakuja kuishi maisha magumu hapo baadae

    Nani alikwambia kuwa babu wa loliondo ana maisha magumu??
  11. Amrish Puri

    JamiiForums Tanzania sorry Makonda kupanda zaidi ya hapo alipo fika itakuwa dhihaka

    Pambana na hali yako na wewe upande acha majungu kama mtoto wa kike!!!
  12. Amrish Puri

    JamiiForums Tanzania Mimi ni dereva wa Uber natafuta boss wa kuniajiri

    Class c flat au c gani hiyo?
  13. Amrish Puri

    JamiiForums Tanzania Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

    Umeumbua mtu alitaka kutupeleka chaka
Back
Top Bottom