Karibu kuosha gari dogo kwa 7000/=

Karibu kuosha gari dogo kwa 7000/=

Under30

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2017
Posts
218
Reaction score
655
Kwa wakazi wa dar maeneo ya chang'ombe,keko,kilwa road na uwanja wa taifa na maeneo ya karibu na ukumbi wa sigara
Karibuni kuosha magari kwa bei ya promotion kwa mashine ndani nje na injini
Gari dogo 7000/= tu
Bajaji 3000/=
Pikipiki 2000/=

Carwash ipo maeneo ya sigara nje ya ukumbi wa tcc
Kwa mawasiliano piga 0746751571
Karibuni sana
 
Bei huwa ni elf 10 dar yote hii na sehemu zingine zaidi
Ila sisi tunafanya bei ya elfu 7.karibu mkuu
Siyo kweli kote ninakooshea mimi iwe ubungo,mabibo,sinza,kawe,keko n.k ni chini ya hiyo hela otherwise kama unapandisha juu ya winchi
 
Siyo kweli kote ninakooshea mimi iwe ubungo,mabibo,sinza,kawe,keko n.k ni chini ya hiyo hela otherwise kama unapandisha juu ya winchi
Mkuu kwa kweli hiyo ya elfu 4 hata bajaji maeneo mengi hawaoshi kwa bei hiyo
Yes tunapandisha gari inaoshwa kila mahali
 
hongera yako !kuosha gari huwa 10000/ nimeona uzi wako nimecheka !jana tu nimembeba pashkuna fulani akanichana live mbiti gari chafuuuuuu ! teh kwa kweli vyuma vimekaza !
njoo na mikoani
 
hongera yako !kuosha gari huwa 10000/ nimeona uzi wako nimecheka !jana tu nimembeba pashkuna fulani akanichana live mbiti gari chafuuuuuu ! teh kwa kweli vyuma vimekaza !
njoo na mikoani
Niliona coment yako umehamia dar
Karibu uje uoshe gari bwana
 
Carwash zingine buku 3 bro.nagari inapigwa presha na usafi wakutosha ndani
 
You must be kiddin' hommie,wakati tunaosha 4000 tena na mashine (nje & ndani) na chuma linatoka mng'ao leo unasema 7000 ndio ya promotion khaaaa na siku hizi mvua inatupiga tafu angalau,cheki tena bei zako kaka vyuma vimekaza.
 
Back
Top Bottom