Usipomtakia heli Mungu atafanya yake, punguza wivu kama jamaa ako hajawahi kujisifu kuwa na ww jichunguze vizuri labda unagubu au vinginevyo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] .
Karambe malimao
Kwa wale ambao wanajua mambo ya uchenjuaji madini hasa dhahabu, wanajua jinsi gani ambavyo technologia ya vat leaching ambavyo ilivyoshika kasi. Basi Uzi huu upo kushirikishana changamoto tunazozipata kwenye maeneo yetu ya kazi. Karibuni sana wadau
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.