Wako busykuchambua siasa.Mhh kwann hawajajibu swala hili
Kweli namna hii tutafika kwel??Wako busykuchambua siasa.
Mkuu subiri wamalize siasa watakujaKwa wale ambao wanajua mambo ya uchenjuaji madini hasa dhahabu, wanajua jinsi gani ambavyo technologia ya vat leaching ambavyo ilivyoshika kasi. Basi Uzi huu upo kushirikishana changamoto tunazozipata kwenye maeneo yetu ya kazi. Karibuni sana wadau
Mawazo mazuri,mkuuChangamoto kuu ni hizi kaka
1. Upatikanaji wa maozesho.
2. Upatikanaji wa cyanide na carbon.
3. Wizi katika kinu cha kutenganisha dhahabu na carbon pale Mwanza.
4. Mabadiliko ya bei kiholela.
5. Mazingira hatarishi ya kazi.
6.Ukosefu wa vifaa vya kujilinda.
7.Sera mbovu za sekta ya Madini
FrxMawazo mazuri,mkuu
Sera mbovu za sekta ya madini, hebu taja hata mojaChangamoto kuu ni hizi kaka
1. Upatikanaji wa maozesho.
2. Upatikanaji wa cyanide na carbon.
3. Wizi katika kinu cha kutenganisha dhahabu na carbon pale Mwanza.
4. Mabadiliko ya bei kiholela.
5. Mazingira hatarishi ya kazi.
6.Ukosefu wa vifaa vya kujilinda.
7.Sera mbovu za sekta ya Madini
Vipi kwa marudio yenye copper nyingi mnafanyaje huko kwenuMnachukua maozesho WAP?