Recent content by Amoxlin

  1. Amoxlin

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kupata Prem number

    Vipi ulifanikiwa kuipata?
  2. Amoxlin

    JamiiForums Tanzania Unataka urafiki wenu uendelee kudumu? Basi usijenge nyumba jirani na yule "best friend" yako

    Chupa na kizibo wanakusalimia...
  3. Amoxlin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashukuru sana kwa kutoka salama kwenye Chumba cha uchakataji

    Zile dawa ukizitoa kwny kichupa chake kwa kitambo zinakua kama zinatoa mafuta. Ongeza bidii utaelewaga tu
  4. Amoxlin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimwambie hali halisi?

    Shetani atakupepeta kama ngano mdogo wangu.
  5. Amoxlin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeingia ulimwengu mpya

    Weka na bei ya vumbi + morogoro sehemu gani ili tangazo likamilike
  6. Amoxlin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada kuweni na msimamo Muda mwingine

    Majuto ni mjukuu. Hii tabia ya wanawake kupatukana na kupadhihaki walipotoka huwa inawagharimu sana. Wakipata bwana mpya akili zinawaruka kabisa!
  7. Amoxlin

    JamiiForums Tanzania Kuna yeyote aliyewahi kusamehewa Deni la SONGESHA? Nahisi kuingizwa kwenye 18 zao

    Deni halikimbiwi waungwana. M-PAWA wananidai 60,000/= SONGESHA wananidai 12,000/= wote nitawalipa ila M-PAWA nimewasubirisha miezi mitatu sababu walinikera kila siku sms za kuniambia nilipe kabla ya muda wa kulipa haujaisha.
  8. Amoxlin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Una mpango wa ku-date na mke wa mtu? Zingatia haya

    Hii game hainaga kanuni...
  9. Amoxlin

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote

    Ni kweli kabisa.
  10. Amoxlin

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote

    Nafanya "Nipe Mawasiliano" ndicho alichomaanisha. Usipozoea text za mkato utapata tafsiri tofauti.
  11. Amoxlin

    JamiiForums Tanzania Kwanini hela ya Kenya ina thamani zaidi, tena mbali kuliko ya Tanzania wakati tumebarikiwa kila kitu?

    Kenya hakuna CCM kwahiyo lazima watuzidi kwa kila sector!
  12. Amoxlin

    JamiiForums Tanzania Wabunge/ Mbunge akijirekodi faragha anaweza kupoteza Ubunge wake?

    Kwani huko kawe kuna tatizo lolote?
  13. Amoxlin

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwa Freelancer (Be your own Boss working from home)

    Ahsante kwa kujali
  14. Amoxlin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu anataka tuwe tunaishi na mtoto wa dada yake kila wikiendi na likizo

    Fika dawati la jinsia kutoa malalamiko ili baba wa huyo mtoto aweze kuwajibishwa atimize majukumu yake. Ukishindwa hilo huyo mama wa mtoto geuza mchepuko wako na ikibid tia mimba kabisa ili ku activate akili ya mkeo
  15. Amoxlin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kama una mke mjamzito usijaribu kufanya hili

    Mimi nilikula embe lake tu, ebwana niliamshwa satisa usiku nimpikie chai.
Back
Top Bottom