Natafuta kazi yoyote

Natafuta kazi yoyote

Binafsi naona tayari binti amejitia doa, hasa kwa wale waliokua na nia njema ya kumsaidia unless otherwise...👴
Babu ushimen mwandiko wa vijana huu, hapo anamaanisha apewe mawasiliano
Hata kama angesema yupo kinyerezi au hapo mawasiliano bado haiharibu kitu maana bado yupo daru salaam
Tafa
 
Binafsi naona tayari binti amejitia doa, hasa kwa wale waliokua na nia njema ya kumsaidia unless otherwise...
Dah....hii mbinu siyo mpya mkuu...lakini bado wanajichanganya tu... Hawampati mtu
 
Babu ushimen mwandiko wa vijana huu, hapo anamaanisha apewe mawasiliano
Hata kama angesema yupo kinyerezi au hapo mawasiliano bado haiharibu kitu maana bado yupo daru salaam
Tafa
Sawa mjukuu....
Ebu ngoja nizame PM nikafanye kitakacho wezekana...🤗🤗
 
Unataka mshahara kiasi gani, na unaishi wapi DSM
Jàman samahan kwa wote wasioelewa nilichomaanisha ...mKuu aliniuliza maswali mawil tofaut namm nikajib yote kwa pamoj Kama alivoyaambatanisha kuwa uko WAP na mshahar Sasa nmekosea nn
 
Binafsi naona tayari binti amejitia doa, hasa kwa wale waliokua na nia njema ya kumsaidia unless otherwise...

Wewe ndio hujaelewa, alimaanisha apewe mawasiliano sio yupo mawasiliano
 
Wewe ndio hujaelewa, alimaanisha apewe mawasiliano sio yupo mawasiliano
Ebu ngoja nikubali kwamba sijaelewa, lakini naomba niulize kwamba....
Aliandika kwa lugha gani..??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom