Recent content by Amos David Mathiasii

  1. A

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kwa wazazi/walezi kuwabusu watoto wao mdomoni kama ishara ya kuonesha upendo?

    Angalia walivyoshikana kimahaba hayo sio mapenzi ya kawaida kuonesha kwa mtoto.Mbaya zaidi wamefumba Hadi macho INAONEKANA UTAMU umekolea kwa kweli.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Wafia dini wanne wajilipua mabomu Somalia na kuua watu tisa akiwemo mwanafunzi

    Hao waliojilipua Moja kwa Moja ni motoni.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Harmonize alipwa milioni 23 kutumbuiza maonesho matatu nje ya nchi

    TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO HARMONIZE ATOKOMEA NA MILIONI 23++ ANADAI AMEFULIA VIBAYA ANATAKA YA KUFUNGIA HARUSI. PROMOTA WA SHOO KATANGAZA HALI YA HATARI KWA HARMONIZE KWAMBA ATAJAZWA MTU MIMBA...
  4. A

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nini dawa ya chunusi usoni?

    Shahawa wasichana wengi Hutumia hii
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ewe mwanamke ni bora ujiongezee kishundu(mkia) kuliko kujichubua

    Wenye tabia ya kujichubua hivyo mara nyingi ni makabira ya kusini wakija dar wanawehuka hivyo asilimia yahn anajichubua usoni mweupe kuanzia shingoni kushuka chini ni shidah... Vyote havifai kujichubua kuna madhara na kuongeza chura pia kuna madhara...tujifunze kulizika na tulochojaaliwa na...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya wanawake watu wazima ni matamu sana

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]nani unaitwa
  7. A

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake na mavazi yasiyofaa

    Kwa hivyo SISI UKITEMBEA uchi tukakuona barabarani tunafaidika nini zaidi ya wewe tu kujidhalilisha na kujazwa mimba na waliokutamani na mwisho wa SIKU kutelekezwa na kuwa SingleMama. Nilikuwa sijui kumbe mnaonesha uchi sababu mnahisi msipoonyesha mnakuwa wachoyo. Wanawake akili hamna .
  8. A

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake na mavazi yasiyofaa

    Lengo la kuonyesha hayo Matiti ni nini Sasa????
  9. A

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake na mavazi yasiyofaa

    Wakisema waje wanawake watakatifu hapa Cha kwanza utawatambua kwa kigezo kipo kama sio mavazi. Unawezaje SEMA unamtumikia Mungu alafu HUNA tofauti na Malaya.Hiyo ya moyoni ni uwongo kama ameshindwa ya nje ya moyoni ataweza kujirekebisha.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Una mtazamo gani kuhusu kumpa mwanamke pesa baada ya kulala naye?

    Mpe mimba kabisa alafu ndyo umlipee .
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya wanawake watu wazima ni matamu sana

    Sijui nitest zari
  12. A

    JamiiForums Tanzania Je, nimuache au nimvumilie?

    Mkuu hapo fanya kama hauna mke ishi kama mjinga tu mwache afanye anachotaka shughulika na watoto wako tu. Lala kitanda kimoja akikupa asipokupa poa ila jitafutie kamchepuko ka uhakika maisha yataenda usitake kushindsna na mwanamke ATAKUPA msongo wa mawazo Bure hata akitaka kuondoka mwache...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume mmepunguza kuhonga?

    Wanaume tujipigie makofii hakuna kutoa Hela zetu kwa hawa mbuzi KIZEMBE zembe tukitoa tunainenea LAANA kabisa
  14. A

    JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke anaweza kupata ujauzito baada ya kutolewa kizazi kwa kuombewa na Manabii na Mitume?

    Mungu ni zaidi ya Sayansi.Mungu hapimwi kwa Sayansi. Ndiyo maana hao wanasayansi wanasema Mungu HAYUPO. Hakuna scientific investigation inayoonyesha Mungu yupo. Ila watu wanajua Mungu yupo. Sasa ukijitoa akili ukawafuata hao wanasayansi utakuta na wewe unasema Mungu HAYUPO sababu unatafuta...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke anaweza kupata ujauzito baada ya kutolewa kizazi kwa kuombewa na Manabii na Mitume?

    Ukisoma Biblia vizuri KUHUSU habari ya Nuhu na Dunia nzima ilivyoangamizwa kwa gharika mwishoni baada ya ardhi kukauka Nuhu alimtolea Mungu sadaka na Mungu akapendezwa nayo akafanya agano na kiapo na Nuhu KWAMBA hatakaa aje aangamize Dunia tena kama alivyofanya. Hapo Mungu akasema “Moyo wangu...
Back
Top Bottom