Recent content by AMon2012

  1. AMon2012

    Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

    Yaani kazi snapatikana alafu unalalamika maisha magum njoo tegeta huku uone watu wanaponda kokoto na wateja hakuna.sehemu ngum kuish ni africa tu ukisurvive africa hakuna nchi utashindwa kuishi.tena ww n mjinga umeenda kwa ndg yako then unarud ?kuna watu wanaenda kwa kuforce wapo huko na...
  2. AMon2012

    Vita ya kugombea mali za aliyekuwa Mchungaji, Marehemu Getrude Rwakatare sasa imeshika kasi

    Mm naombea wasielewane ili mali zote zipotee waje huku mtaani waone moto wake.
  3. AMon2012

    Ajira sio ngumu ila watu wanafanya ajira ziwe ngumu

    Haya mambo yana pande mbili zote n ttzo boss wa kiswahili ni shida sana unakuwa royal sna biashara ikisimama anaanza dharau na kuamini huna pakwenda.nilifanyakaz sehemu nikawa mwema sna wenzangu wakichukua nawazuia,biashara nikaona kama yng at the end nikajakuambiwa mm ndio mwizi...
  4. AMon2012

    List ya mikoa inayoongoza kwa kuwa na watu washamba hapa Tanzania

    Niliwahi kuish shinyanga (mwadui)ukimwambia mtu mambo vipi yy anajibu shikamoo.
  5. AMon2012

    Nimezidiwa na maisha, niokoeni Watanzania wenzangu

    Umeandika vizuri sana. Niliwah kupoteza 15m kwenye biashara flani hivi Ujasiri ndio ulinisaidia hama arusha fanya unavoweza nenda dar au dodoma utanishukur cku moja.
  6. AMon2012

    Jamani anzeni kuhifadhi chakula ndani WW3 is coming

    Naiona ndoto yng ya kwenda ulaya najua wataomba man power kutoka africa cku ikifka Nimo.
  7. AMon2012

    Kyela, Mbeya: Mwanachama wa CHADEMA afungwa Maisha kwa kuchoma moto nyumba ya Mwana-CCM

    Cc tukiwa bize kufungana kwa uongo wachina na wahindi wapo kariakoo wanapiga hela.
  8. AMon2012

    Huu muujiza na ushuhuda niliosikia kwa Mwamposa umenistua

    Niliwahi kwenda kwa hyo tapeli siunajua tena ukikwama unajaribu kila njia ya kujiokoa muda wa ushuhuda kuna mama akatoa ushuhuda eti amepona ukimwi nilikimbia hadi ubongo mataa ndio nikasimama ili ninywe maji.
  9. AMon2012

    Mfumuko huu wa bei nchini, Watanzania tumekuwa wapole mno. Tunahitaji maandamano ya amani

    Leo nimeulizia ndizi za kupika saba saba dom muuzaji ananiambia ndizi tatu buku nimekimbia nikasimamia cbe.
  10. AMon2012

    Iringa: Wakala wa malipo anaswa akidaiwa kuiba TSh Bilioni 2.1, Polisi wafanikiwa kuokoa TSh Milioni 956

    Uongo tu mnatengeneza drama zenu ili watu wasahau habari ya mtwara,mtu aibe hela yote hyo ashindwe kuitunza.
  11. AMon2012

    CP Salum Hamduni anastahili kuwa IGP Mpya

    Mara paaaa kingai IGP.!!!
  12. AMon2012

    Bora wawekezaji kutoka Ulaya/Marekani. Hawa wa Asia hawafai

    Mwenyekit wa chama cha wajinga tanganyika
  13. AMon2012

    Ongezeko la mshahara Tangu 2015 mpaka 2022

    Kima cha chini 850000 alafu punguzeni masaa ya kazi kutoka 8-6,mfumo wa likizo niwakikoloni watu waanze kwenda likizo kila baada ya wiki 6 anapumzika wiki 2.watu washateseka sana oneni aibu.
  14. AMon2012

    International School, watoto hutafuta vitu vitatu tu

    Hebu mtaje huyo mtt wa maskini hyo awamu yako alieinuliwa ?
  15. AMon2012

    Sisi Wakristo masikini tunanufaika vipi na shule za Kanisa?

    Malipo yako ni mbinguni.nchi za kiafrica Kenge ni nyingi sana.
Back
Top Bottom