Kima cha chini 850000 alafu punguzeni masaa ya kazi kutoka 8-6,mfumo wa likizo niwakikoloni watu waanze kwenda likizo kila baada ya wiki 6 anapumzika wiki 2.watu washateseka sana oneni aibu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.