Sasa hivi watu wanamuacha Mungu, wanabishana kuhusu dini ya kweli.
Kuishi Mungu anavyotaka ni rahisi sana, fuata amri 10 alizotupatia Musa hapo utaishi vizuri kabisa.
Achana na hizi dini maana dini ni biashara za watu, ukifuata sana dini utamuacha Mungu.
Vitabu vipo tusome tuelewe na sio...
wanafamilia moja wamekuja kwangu wanataka wagawane mali walizochuma ndipo nikaomba kujua historian yao hadi kufikia hapo, ipo ivi.
Ilikuwa 2018 mahusiano yao yalianza na wakati huo mwanaume alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni moja aliajiriwa, ilipofika 2019 alifukuzwa kazi na kipindi chote...
Ndugu jamaa na marafiki kama na nyie limewakuta hebu tuambiane nini tatizo maana kila nikienda kupima maralia kwenye hizo HOSPITALI naambiwa sina maralia wakati nikijiangalia ninaumwa kweli.
Naamua kwenda maabara au hospitali binafsi, huko napatiwa tiba kisha narudi nikiwa na amani.
Jana usiku...
ivi tangu chama aje Simba alikuwa anacheza no ngapi? achen utani simba
mwalimu hatuna maana hata All ahly
wa msimu huu ni wabovu lakini tumeshindwa kuwafunga, mwalimu anakazania na mfumo wake wa 4.2.3.1
wakati hana watu wa aina hiyo.
basi kama umeamua kumchezesha chama pembeni basi tumia 4.3.3...
fafanua vizuri huenda hawajakuelewa
hiyo sadaka wampe Nani? mana wasije
wakampa Padre au mchungaji.
Sadaka mpe yule asiejiweza na kumpa
njia ya kutafuta pesa yule asie na kazi.
Lakini hapo kwenye zaka me sipo.
Binadamu ni kiumbe wa hovyo sana yaan
yupo tayari kukuombea mabaya wewe
anaekufahamu na kumuombea mafanikio
yule asiemfahamu.
Anapopatwa na shida anakuja kwako
umsaidie umsaidie kwakua anajua wazi
yule asiemfahamu hawezi kumsaidia
kwakua hamfahamu.
hebu tubadilikeni jamani maana hayo sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.