Recent content by AMO MTAFUTAJI

  1. AMO MTAFUTAJI

    NIFANYEJE ILI NIFUNGUE ONLINE TV CHANELI

    Nahitaji kufungua 📺tv online najiuliza gharama zake zikoje na kunamasharti gani kwa yeyote anaefaham naomba anisaidie jamani
  2. AMO MTAFUTAJI

    Nahitaji vifungashio vya mikate na keki

    naomba bas namba zao hawa jamaa mm nipo tabora
  3. AMO MTAFUTAJI

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Docta Nijib yani ninapata shda maana nikiamka hasubuhi mkojo ukiwa umenibana tumbo linauma kana kwamba kwenye kibof kuna uvmbe au kidonda na ila nikikojoa tu maumivu yanapungua na kwenye uume huku mbele kunakama viuvimbe vya vinyama vya maji
  4. AMO MTAFUTAJI

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    ninatatizo docta yani ikifika asubuhi saa12 asubuhi nikiwa mkojo umenibana yani tumbo linakuwa linauma sana halafu mbele kwenye uume ndani ya ule mrija wakutoa mkojo kuna viuvimbe kama vile vinyama vya maji nilienda hospitali kupima ultra sound wakasema cna uvimbe cjui nifanyeje docta
  5. AMO MTAFUTAJI

    BIASHARA YA CHAI MASALA

    ninauwezo mkubwa sana wa kutengeneza chai masala lakini nashindwa kuingiza sokoni kwa sababu ya viofungashio na elimu juu ya hii biashara na ukizingatia hii bidhaa ni bora sana na ni ya asili pia ni tiba juu ya magonjwa yafuatayo 1]HOMA YA MATUMBO 2]HOMA YAMANJANO 3]MAPIGO YA MOYO 4]HUONGEZA...
  6. AMO MTAFUTAJI

    Nahitaji vifungashio vya bidhaa zangu

    Jamani ninataka kufungua bakery nimepata changamoto ya vifungashio kwa yeyote anayefanya biashara hii ya vifungashio anitafute ninashida hiyo sana kwa sasa Naomba sana msaada wenu asanteni
  7. AMO MTAFUTAJI

    Biashara ya mandazi sio ya kuifanyia mzaha inaweza ikakutoa kimaisha

    Kila k2 kinawezekana ila upate soko ndo k2 cha muhim Sent using Jamii Forums mobile app
  8. AMO MTAFUTAJI

    Amphotericin

    We upo wapi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. AMO MTAFUTAJI

    Biashara ya mandazi sio ya kuifanyia mzaha inaweza ikakutoa kimaisha

    Hii biashara siyo ya kuwekea masihara kabisa unaweza kufanikiwa kirahis xana japo kuna watu wanaweka mzaha na kuidharau Sent using Jamii Forums mobile app
  10. AMO MTAFUTAJI

    Natafuta wateja wa biashara ya maharage

    Jamani naomba msaada wenu ninabiashara ya maharage je nfanyeje ili kupata wateja katka sehemu za mashule hapa kahama mjini naomba msaada wenu wadau asanteni sana.
  11. AMO MTAFUTAJI

    Matumizi ya mitandao

    Yah ndo ilitakiwa niandike hvyo
  12. AMO MTAFUTAJI

    Matumizi ya mitandao

    Makosa ya uandish sory
  13. AMO MTAFUTAJI

    Matumizi ya mitandao

    Kvp mwanyungi
  14. AMO MTAFUTAJI

    Matumizi ya mitandao

    Maisha ya mitando mm naamin yanaweza kubadili maisha ya m2 kwa kiasi kikubwa hasa anapojtambua na kuchukua hatua ya matumiz bora ya mitandao
  15. AMO MTAFUTAJI

    Ukiwa na mke wakati mwingine raha sana

    Wakat mwingne unaweza kujuta kwann nmeoa tena ww mshukuru2 mung waki
Back
Top Bottom