Nahitaji vifungashio vya mikate na keki

Nahitaji vifungashio vya mikate na keki

Me naitaji vifuko vidogo vile vya kufungia ubuyu....nisaidie,Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii unaweza kutengenezewa...hawa jamaa wanajihusisha na kuprint mifuko karibia ya aina zote mchele, chumvi, mikate na mifuko ya kuwekea nguo za dukani...nafikiri pia hata hiyo mifuko itakuwa inatengenezwa...Hawa ni ADVENT COMMODITIES wapo Chang'ombe eneo la viwanda..pia wapo JAMANA printers wanatengenea mifuko ya majani ya chai ya Chai bora....Option nyingine mkuu unaweza kununua roller la mifuko midogo ya size unayohitaji pale soko dogo k/koo, ukapata na mashine ya kufungia mifuko ya Sh 70,000 ukaandaa na stickers za bidhaa yako...Inakua bora pia...contacts za hao jamaa ADVENT COMODITIES ni 0713 432 678 na mineshjn@gmail.com mcheki huyo muhindi atakupa maelekezo papo hapo yako fasta sana.

Shukrani sana,mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom