Nahitaji vifungashio vya bidhaa zangu

Nahitaji vifungashio vya bidhaa zangu

AMO MTAFUTAJI

Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
15
Reaction score
5
Jamani ninataka kufungua bakery nimepata changamoto ya vifungashio kwa yeyote anayefanya biashara hii ya vifungashio anitafute ninashida hiyo sana kwa sasa

Naomba sana msaada wenu asanteni
 
Back
Top Bottom