Recent content by ammy mshana

  1. ammy mshana

    Wanajeshi wa JWTZ wako juu ya sheria za nchi?

    Ngoja waje watuambie wenyewe kama wapo humu au wanaofahamu watasema
  2. ammy mshana

    Madaktari na wauguzi wanne Mwanza wasababisho vifo vya watoto mapacha kwa kutomzalisha mjamzito

    Duuuh jamani mpk tunawaza tukazalie wap kwa wakunga wa jadi si salama hospital ndo majanga hayo tena mh[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87]
  3. ammy mshana

    Natafuta Mme Mtu Mzima

    Mh hata kama ana mke wake? Akitaka kuongeza upo tyr?
  4. ammy mshana

    Ushauri: Mama yangu hataki nifanye kazi anataka niolewe

    Gaya ne mlala kivuzima aho uvuke ureenda kibarua,,
  5. ammy mshana

    Dhana ya "kumbemenda mtoto"

    Mm nafikiri ni sahihi la 7b mwenzangu
  6. ammy mshana

    Ushauri: Mama yangu hataki nifanye kazi anataka niolewe

    Egera soni ni mlala tusimlaumu wetu hangira afikiria ateginde, ambu vya mcheku vekiguriria kindu mvuasi
  7. ammy mshana

    Tuna mtoto mmoja, aliniumiza sana, sihitaji kuwa na hisia tena za mapenzi, nifanyaje?

    Duuuh pole mwaya, ila sikushauri ukachomwe hiyo sindano kaa Chini tafakar vizuri utapata njia nyengine sio hiyo, dada angu Kuna watu Wana matatizo wakikuhadithia utajiona kuwa una nafuu ila wanajifariji na ktk maisha ya mahusiano uvumilivu unahitajika maana unawezaa ukafanya kitu kibaya mno...
  8. ammy mshana

    Tusipoteze muda kuwahonga wasichana

    Mh [emoji57] [emoji57] [emoji57]
  9. ammy mshana

    Ushawahi kupitia haya maisha

    Teh teh teh teh teh teh [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji3]
  10. ammy mshana

    Ushauri: Mama yangu hataki nifanye kazi anataka niolewe

    Ww mshawishi, mwambie umekubali kuolewa ila ngoja ukaangalie mazingira ya kazi kwanza ukifika kazini kama bado anakumbushia uolewe mwambie mama huku kazini kidogo Kuna masharti sitakiwi kuolewa kbl sijafanya kazi either miaka hata miwili ko nifanyeje mama na hapo hakikisha ukipata mshahara...
Back
Top Bottom