ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,113
Nafikiri watakuwa maharage ya mbeya
huo ni uoga kwa mwanaume.Msichana akishakuwa mzuri sana hupaswi muoa atakusumbua
Ataolewa Na nani sasaMsichana akishakuwa mzuri sana hupaswi muoa atakusumbua
je ni kweli maskeretari wengi hawaolewi!!!!Mi ni mke wa mume mmoja
Nakubaliana na wewe! acha niendelee kusoma comments za wadauHii kazi ni changamoto
Utawajua tu kazi kuiba waume za watu na kupenda miteremko tuuh! Ukisha zoea mchepuko kutunza mume ni taabu mno kwao..Wewe ni secretary? Ama umeoa secretary au ulishawahi kuwa Na mahusiano Na secretary
Wajua koment yako imenifanya nicheke sana, he he uko powa lkn?Utawajua tu kazi kuiba waume za watu na kupenda miteremko tuuh! Ukisha zoea mchepuko kutunza mume ni taabu mno kwao..
Hilo sina ushahidi mkuu
Utawajua tu kazi kuiba waume za watu na kupenda miteremko tuuh! Ukisha zoea mchepuko kutunza mume ni taabu mno kwao..
Wanaolewa, wasioolewa ni chakula ya bossje ni kweli maskeretari wengi hawaolewi!!!!
du...ngoja niongeze bidii niwe boss!!Wanaolewa, wasioolewa ni chakula ya boss
Ukiendekeza hayo maendeleo utayasikia kwa jirani tudu...ngoja niongeze bidii niwe boss!!
mweeeeeeeeee....unanitisha au uko serious?!Ukiendekeza hayo maendeleo utayasikia kwa jirani tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mweeeeeeeeee....unanitisha au uko serious?!
hahahahahhahhaha miss chagga katika ubora wakokwa sababu mabosi wao wanawafanyisha kazi sana hadi usiku