Recent content by Amiry makoye

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    Watu sjui hawafikilii.mtu alishindwa uwazli, urais atauwezajeeee?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Sarafu za shilingi mia tano bado zipo?

    Hakuna kitu kinachonike kama kutumia noti mbili na nizaaina moja. Mf/ 10000,1000,5000 tz tnatumia aina mbli. 10000 mbli,5000 mbli. Loh
  3. A

    JamiiForums Tanzania Rais wa awamu ya 5 akitoka CCM nitahamia Somalia

    #37 nenden burundi
  4. A

    JamiiForums Tanzania Rais wa awamu ya 5 akitoka CCM nitahamia Somalia

    Kwa ushauli bora ukimbilie Burundi.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mchango wako wa mawazo

    Kwakuwa kuuza mwili ni biashara haramu, je kunanjia mbadala ya kuwasiidia dada zetu wanojihusisha na hii biashara. Msemo wao: 1. Ajila hakuna. 2. Hali ya maisha ni ngumu.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Rais wa awamu ya 5 akitoka CCM nitahamia Somalia

    Hata kama. Hiv ulishawahi kukaa somalia hata leave mda wa siku 7?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Rais wa awamu ya 5 akitoka CCM nitahamia Somalia

    Pole sana jamaa.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Rais wa awamu ya 5 akitoka CCM nitahamia Somalia

    Wee weeee.. umzima kweli wewe
  9. A

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Mb ongezeni. Hamuona wenzenu dk 15 mb 125 kwa sh 500 tu.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Tufanye nini kuwasaidia wanaojiuza?

    Kwakuwa dada zetu wanauza mwili kwa madai ya kwamba ajira hakuna na maisha ni magumu, na hiki kitu serikali ya Tanzania inakipiga vita. Je! Kuna njia mbadala ya kuwasaidia hawa madada ili wasiendelee na biashara hii!?
Back
Top Bottom