Mmh madereva wa Gari za serikali wengi wao wanakimbia sana na gari na kupelekea kutokuwa makini.
Tarehe 9 October nilliongozana na DFP cruiser had top (ambulance) ya simiyu hakuwa na mgonjwa.
Maeneo ya Hungumalwa jirani na njia panda ya Kwimba.
Daah speed 120 barabara yenyewe ina Matege...
Duuuh! Na utu uzima huu napigwa na mtu mzima kama mimi. Hata awe bosi wangu huyo nakufaa nae.
kwa Mhehe lijali toka Iringa Mkwawa hajanifundisha hivyo.
Wamachinga walofukuzwa pale na watu wa NEMC
kwa kigezo cha Eneo oevu hivyo haitakiwi kufanyika shughuli yeyote ya binadamu!
Cha ajabu mwendo kasi wakajenga na hao NEMC wala hawakuwazuia.
Pia hakuna asiyejua kuwa pale huwa yanajaa maji!
Malipo yanaanzia hapahapa duniani :
Now wameisoma namba!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.