Mungu was kweli Ni yule ajazaa Wala ajazaliwa unaposema yesu Ni mwana wa mungu ni wazi kwamba mungu ana mke au
Na Kwanini awe mwana wa mungu alafu awe mungu
Mwanamke Kama ajakukubali ndugu yangu ata uwe unachekesha Kama kingwendu kazi bure bola ukate tamaa Kama unaona dalili za kukataliwa sababu itakusaidia kutuza fedha zako Mwanamke anaelekea kukubali anaonekana mwazo kabisa wakati unamtongoza
Mwanamke uwaga nambeleza mala mbili tu zaidi ya hapo sinaga habali nae wanawake wenye malingo Sana ukienda kuxxxx unakuta akuna hata alichokuwa anakilingia hana
Mwisho wangu kumpa Mwanamke ela Ni Tsh 10,000/= Tena Ni kwa mwezi maisha ya kuhonga nilishaachanaga nayo
Kuna Mwanamke wangu alikuwa anaumwa Kila kitu galama za hospital nilikuwa na galamia Mimi lakini akaja kunipiga down
Sawa endelea kutukana yaani wewe uzini uwibe utapeli watu udanganya watu alafu eti mungu wenu yesu anasema anakufa na kuwondoka na dhambi zenu wote mmmh soma vizuri Bible yako mzee uwone jinsi gani inavyokudanganya mungu gani ametoka sehemu ambayo ata wewe umetoka mungu gani anakwenda chooni...
Alafu nimejuwa kitu kimoja wewe dini kichwani una yaani uwo ukristo wenu wala ujautambua vizuri kiufupi nabishana na mtu ambaye hata dini yake aitambui
Uliona wapi msikiti ukatoa mapepo yakaja kwenu acha uchawi mungu Ni mmoja hapa duniani mungu ashindwi na chochote ata angetaka Binadamu waamini dini moja alafu nyengine azifute Wala asingeshindwa na chchote kwani yeye Si ndio muweza wa kila kitu ndugu yangu peponi utaisikia kanisani tu lakini...
Shauli lako wewe baki hapo hapo kusema ndio njia na kusingizia uslam Ni ushetani wakati nyinyi wakristo ndio mnaongoza kutoa mapepo kanisani Kila jumapili Sasa sijuwi yataisha lini kabla ujazaliwa wewe babu zako walikuwa wanatoa mapepo mbaka leo bado mnatoa
Ukristo sio dini kwa sababu ukienda malekani unakutaka biblia imeandikwa kizungu au ukienda nchi yoyote ile utakuta Bible imendikwa kwa nnchi usika ata ukija Tanzania Bible imendikwa kwa kiswahili lakini kitabu cha kislamu ukienda duniani kote maandishi Ni yale Yale na kitabu Ni kile kile akuna...
😁😁😁 Wewe mwenyewe bila ngono ungekuwa hapo bhana acha mambo yako bhana au Kuna utofauti ya tendo ambalo linafanyika kwenye ndoa na linalofanyika njee ya ndoa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.