Recent content by AMINATA 9

  1. AMINATA 9

    JamiiForums Tanzania JF hamjambo?

    hata mwalii anajua kua mm ni dada yako ivo aondoe wasiwasi kabisa .......pamoja sana mwalii kua na amani tu
  2. AMINATA 9

    JamiiForums Tanzania Tatoo yangu ya mgongoni (unaipenda?)

    sorry i was away for a while ndio mana nilishindwa kureply..........we wangu tu wa kufa nakuzikana usijali pamoja sana tu mzima ww lkn?
  3. AMINATA 9

    JamiiForums Tanzania Mbona sina hamu yakupenda au kuwa na mpenzi?

    Jaribu tena
  4. AMINATA 9

    JamiiForums Tanzania Kwangu huyu ni chuma cha pua.........

    duh!.............
  5. AMINATA 9

    JamiiForums Tanzania rest in peace my daddy

    pole sana mkuu
  6. AMINATA 9

    JamiiForums Tanzania Hivi wasambaa wana sifa gani??

    wakike ni wapole nahata umpigeje haondoki ila ukimuoa ndio ujue umeoa ukoo wote wakiume wahuni kila anakoenda kutafuta maisha anazaa n kuacha mke tabia ya ujumla ni wakarimu sana na wanajali utu wa mtu,wanajua kubembeleza mnoooooooo
  7. AMINATA 9

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake mna matatizo gani? (kwa wanawake tu).

    watu wanaangalia mkwanja sio umri
  8. AMINATA 9

    JamiiForums Tanzania Wanawake na wanaume weupe. . . . !!

    black is beauty kwangu mm.........wakaka weusi au maji ya kunde wanavutia kuliko wale ma white bwana (kwa wadada si jui yupi anavutia black or white)........... ila asikuambie mtu kitu cha hebu jitokeze simama mbele za watuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
  9. AMINATA 9

    JamiiForums Tanzania Ways to make her happy.

    umenena barabaraa
  10. AMINATA 9

    JamiiForums Tanzania Dawa ya moto ni moto, hata kwa mapenzi INAHUSIKA ?

    we boss umenena vema
  11. AMINATA 9

    JamiiForums Tanzania Sikuamini jamani!!

    Usimuambie
  12. AMINATA 9

    JamiiForums Tanzania mchumba

    ivi hua na mm najiuliza mara kibao ni kwanini wakaka wengi wanapenda wadada wenye vijungu......hua vinasaidia nini jamani cha muhimu uaminifu na mapenzi ya kweli basi
  13. AMINATA 9

    JamiiForums Tanzania mwenzenu nimefiwa

    pole sana mkuu
  14. AMINATA 9

    JamiiForums Tanzania Hii siyo Fair Dada zangu tutakuja kuuana.

    umenena vema
  15. AMINATA 9

    JamiiForums Tanzania Kweli nimsamehe huyu binti?

    duh! huyu binti nampa salute lol! mwaka mmoja anabalance equastion na hamujamshtukia na wote anawazirisha bila maugomvi dah! kwli hii ni zaidi ya sekreto damori :focus: achana nae mana kama kaweza kuficha maovu kwa mwaka mmoja iyo ina mana hata ukimuoa ndani utamegewa wewe hata na mlinzi wa geti...
Back
Top Bottom